Jamani kulala na watoto kutatuadhiri siku moja

Jamani kulala na watoto kutatuadhiri siku moja

Wee jeni amka ujishike vizuri wameanza tena mchezo wao wasije wakakuangusha tena.

Kwa hiyo jamani kulala na watoto kutatuadhiri siku moja

kwa sentesi hii mzee hata kama mzigo ushapamba moto umekaza misuli lazima ushuke kwanza kwa shock then muanze pekecha pekecha upyaaa!! hahaaaaa haaa very interesting!
 
Nyota ya kijani(UMATI) wanajitahidi kuelezea, FEMINA talk show ambayo sasa ni FEMA, na kuna matangazo mengine mengi yanashawishi akina mama kutumia hata njia za kupanga uzazi lakini wapi.
Kaka swali la kujiuliza beneficiaries wa hayo matangazo na hivyo vipindi ni akina nani?
 
kwa sentesi hii mzee hata kama mzigo ushapamba moto umekaza misuli lazima ushuke kwanza kwa shock then muanze pekecha pekecha upyaaa!! hahaaaaa haaa very interesting!

Hiyo pekechapekecha nimemkumbuka Firstlady1. Sijui kapotelea wapi huyu mdada?
 
Kaka swali la kujiuliza beneficiaries wa hayo matangazo na hivyo vipindi ni akina nani?

sWALI LINGEKUWA HIVI BENEFICIARIES WA HIOELIMU NI AKINA NANI??
 
......anakuja dar kwa treni!si unajua usafiri huu?!😀

Hahaha! Mpwa ulinambia tayari una totoz mbili kila mmoja na mama yake. Sista akipanda madhabahuni na kufanikiwa zoezi letu utakuwa na watoto wa tatu kila mmoja na mama yake! Kweli Unadumisha MILA ile wengine wameshashindwa!
 
kAMA YEYE ANGEKUWA MTANDAO WA SIMU TUNGESEMA EXTREME
 
sWALI LINGEKUWA HIVI BENEFICIARIES WA HIOELIMU NI AKINA NANI??
Watu wenye uwezo wa kipesa, wenye televisheni, radio, kusoma magazeti, website n.k
Sio wale wa daraja la kati ambao ndio wenye matatizo/masahibu haya
 
Mtoa mada yuko wapi..mbona kakimbia na kuwaaacha watu wanachangia bila comment kama anaelewa au anahitaji kuelimishwa zaidi!Bujibuji rudi jamvini babaake usomeshwe!
 
Back
Top Bottom