Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,945
- 4,511
Mimi naomba Mungu anisimamie mawazo yangu niwe na watoto 2 tu. Mungu akinizidishia kipato nita adopt mtoto 1.
Duh watoto 2 tu? wakati mm nafikiria kuwa na nusu dozen kama sio dozen kabisa.

washtaki kwa majembe a.k.a vijana wa kazi