Jamani inasikitisha hali ya afya ya Sajuki mme wake Wastara

Igangilonga

Senior Member
Mar 11, 2006
133
27
Siku za karibuni nilisikia kuwa anaumwa sana, ana uvimbe tumboni ambao unakua kwa haraka. Pia wasanii wenzie walifanya harambee ktk ukumbi wa Amana, Ilala ili wachangishe hela apelekwe India kwa matibabu. Sijasikia lolote tangu hapo

attachment.php

Sajuki2%5B1%5D.jpg
 

Attachments

  • sajuki.jpg
    sajuki.jpg
    65.2 KB · Views: 4,860
hali za afya za wasanii wetu sajuki na vengu zinazidi kuwa mbaya tuwaombee kwa Mungu
 
Mungu awaponye,nimemuona Sajuki kwenye kipindi cha take one sio siri it seams anaumwa sana!
 
Mie namjua Vengu tu!!Kuna kipindi,tuliambiwa kuwa anaendelea vizuri na amepelekwa India kwa ajili ya matibabu,je amerudi?
 
dah jaman nami machozi yalinitoka aisee!
mungu msaidie yule kaka jaman.
 
Jamani vengu inasemekana anaendelea vizuri kwani amenza kusimama na anafanyiwa mazoezi ya kuongea...mwenye clip ya kipindi cha take one atuwekee tumuone sajuki...poleni sana hiyo ni mitihani toka kwa mungu itapita tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom