Jamani huyu rita kumbe ni mswahili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani huyu rita kumbe ni mswahili?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Simba Mkali, Jul 19, 2012.

 1. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  DEMU anasoma chuo cha Mipango pale Dom, ni mwenyeji wa Mbeya mwenye maskini Pwani alitongozwa na jamaa mmoja wa mjini, jamaa alikuwa na mipango mingi na huyo nyapu, kumbe Rita wala hakuwa na habari na jamaa, wakakaa na kunywa na kuongea mambo mengi kuhusu maisha, mshikaji akasema amepata mtu mzuri wa kupanga naye maisha... loh Kumbe Rita wala hana mipango na jamaa,akasema kesho yake anaanza mitihani, wakaachana jamaa akarudi mjini.

  Kukawa na mawasiliano kati yao siku nyingine jamaa akatimba Dom si akawasiliana na Rita wake, akahakikishiwa kuwa watakutana, kila akipiga simu anaambiwa subiri, subiri mwishowe ikawa shubiri, usiku Rita hakuwa akipokea cm tena alikuwa akila starehe na Mbunge mmoja mtu mzima. Jamaa alipokuja kupeleleza akajuta kwanini alimfahamu Rita, mpaka leo hii analalamika kwa kupotezewa muda na Rita, tena anasema Jamani huyu Rita ni mswahili anadai kuwa kwanini asingechomolea tangu siku ya kwanza?
   
 2. k

  kibali JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 315
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo umeleta taarifa
   
 3. Nambe

  Nambe JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 1,455
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  teh teh teh, chezeya wadada wa vyuo ww, pole yake rafikiyo,
  Rita wake anakamua posho ya muheshimiwa,
   
 4. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  Huyo jamaa yako amekosea sana,angesubiri bunge liishe kwanza.Mpe pole sana.
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,769
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa ndo wewe.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 6. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  bunge likiwa on session! huwa hawapatikani wadada wengi wa dom! chezeiya hawara yake ya lulu n co! pole yake huyo mtu!
   
 7. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  pia unaweza kuwa wewe.
   
 8. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Eheee muheshimiwa.
   
 9. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  mmmnh nahisi ni kijembe,maaana stori ingenoga bila kutaja jina la mtu....
   
 10. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kwa nini neno 'uswahili' linatumika kama sifa mbaya? je ni watu hatuupendi utaifa wetu au nini hasa?
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,737
  Trophy Points: 280
  Ali kayuti muandikaji mzuri wa script!
   
 12. d

  designer spenko Member

  #12
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  maisha magumu cku hizi w2 wanaangalia kote kote aisee
   
 13. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Siyo Ali Kayuti.... Mkuu ni Ali Yakuti siyo mwandishi wa script ni mwizi wa script anayekwenda kumuuzia Ray. Hata hivyo hii siyo script ni kisa cha kweli kabisa.
   
 14. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Inawezekana hata haya majina ni ya kubumba tu lakini uhalisia umezingatiwa.
   
 15. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Pole best najua yaliyomkuta haya ni wewe mwenyewe
   
 16. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Shame upon you!JF siyo jukwakaa la majungu!
   
 17. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Siku hizi majungu yamejaa sana humu ndani kwa style hii sijui kama tutafika
   
 18. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,187
  Likes Received: 1,538
  Trophy Points: 280
  linatufundisha nini na ulitaka tuchangie nini...hizi story za kitoto hapa great thinkers bana...huna la maana u just quite
   
 19. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Inabidi tuyaondoe na kuweka masufuria.
   
 20. Simba Mkali

  Simba Mkali JF-Expert Member

  #20
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 589
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Ukiona inauma ujue ujumbe umefika.
   
Loading...