Jamani huyu rita kumbe ni mswahili?

DEMU anasoma chuo cha Mipango pale Dom, ni mwenyeji wa Mbeya mwenye maskini Pwani alitongozwa na jamaa mmoja wa mjini, jamaa alikuwa na mipango mingi na huyo nyapu, kumbe Rita wala hakuwa na habari na jamaa, wakakaa na kunywa na kuongea mambo mengi kuhusu maisha, mshikaji akasema amepata mtu mzuri wa kupanga naye maisha... loh Kumbe Rita wala hana mipango na jamaa,akasema kesho yake anaanza mitihani, wakaachana jamaa akarudi mjini.

Kukawa na mawasiliano kati yao siku nyingine jamaa akatimba Dom si akawasiliana na Rita wake, akahakikishiwa kuwa watakutana, kila akipiga simu anaambiwa subiri, subiri mwishowe ikawa shubiri, usiku Rita hakuwa akipokea cm tena alikuwa akila starehe na Mbunge mmoja mtu mzima. Jamaa alipokuja kupeleleza akajuta kwanini alimfahamu Rita, mpaka leo hii analalamika kwa kupotezewa muda na Rita, tena anasema Jamani huyu Rita ni mswahili anadai kuwa kwanini asingechomolea tangu siku ya kwanza?

.............................,,,,,,,,,,.................sijui nikwambieje maana sijaelewa kitu hapo...
 
Hapo JF ndiyo inapopoteza maana,mtu anakurupuka anaandika chochote anachotaka,mkuu hapa hata ukikesha uwezi kuelewa kitu!!
 
DEMU anasoma chuo cha Mipango pale Dom, ni mwenyeji wa Mbeya mwenye maskini Pwani alitongozwa na jamaa mmoja wa mjini, jamaa alikuwa na mipango mingi na huyo nyapu, kumbe Rita wala hakuwa na habari na jamaa, wakakaa na kunywa na kuongea mambo mengi kuhusu maisha, mshikaji akasema amepata mtu mzuri wa kupanga naye maisha... loh Kumbe Rita wala hana mipango na jamaa,akasema kesho yake anaanza mitihani, wakaachana jamaa akarudi mjini.

Kukawa na mawasiliano kati yao siku nyingine jamaa akatimba Dom si akawasiliana na Rita wake, akahakikishiwa kuwa watakutana, kila akipiga simu anaambiwa subiri, subiri mwishowe ikawa shubiri, usiku Rita hakuwa akipokea cm tena alikuwa akila starehe na Mbunge mmoja mtu mzima. Jamaa alipokuja kupeleleza akajuta kwanini alimfahamu Rita, mpaka leo hii analalamika kwa kupotezewa muda na Rita, tena anasema Jamani huyu Rita ni mswahili anadai kuwa kwanini asingechomolea tangu siku ya kwanza?

Sasa nyie wakaka si mnasema eti msipowadanganya wadada kuwa mnakula tu na kuondoka hawakubali mle tundi? na wadada ndo wameshawajulia hivyo hakuna kukwambia kwamba wewe unaonja tu wenye hatimiliki yupo, mpaka wapate kile kitu wanakuwa wanahitaji kwenu. Na kikishapatikana wanasepa au wewe unasemaje? Pole lakini hilo ni fundisho next time utakuwa makini zaidi.
 
DEMU anasoma chuo cha Mipango pale Dom, ni mwenyeji wa Mbeya mwenye maskini Pwani alitongozwa na jamaa mmoja wa mjini, jamaa alikuwa na mipango mingi na huyo nyapu, kumbe Rita wala hakuwa na habari na jamaa, wakakaa na kunywa na kuongea mambo mengi kuhusu maisha, mshikaji akasema amepata mtu mzuri wa kupanga naye maisha... loh Kumbe Rita wala hana mipango na jamaa,akasema kesho yake anaanza mitihani, wakaachana jamaa akarudi mjini.

Kukawa na mawasiliano kati yao siku nyingine jamaa akatimba Dom si akawasiliana na Rita wake, akahakikishiwa kuwa watakutana, kila akipiga simu anaambiwa subiri, subiri mwishowe ikawa shubiri, usiku Rita hakuwa akipokea cm tena alikuwa akila starehe na Mbunge mmoja mtu mzima. Jamaa alipokuja kupeleleza akajuta kwanini alimfahamu Rita, mpaka leo hii analalamika kwa kupotezewa muda na Rita, tena anasema Jamani huyu Rita ni mswahili anadai kuwa kwanini asingechomolea tangu siku ya kwanza?

simba mkali = system failure
 
And thats da gold digger thing,she gains at your loss. Am afraid if you were da victim
 
And thats da gold digger thing,she gains at your loss. Am afraid if you were da victim[/QUOTE Sikia mkuu kama miye kwanini nisiseme, nimeandika mangapi ya wazi ambayo mengine yananihusu humu JF kwanza nisingelalamika, nimeshapigwa kibuti mara ngapi, nijifiche JF ananijua nani?
 
Moderator unaninyima haki yangu ya msingi ya kuona andishi la tusi nililotukanwa na watu waliovamia JF kwa nia ya kuvunja heshima kubwa JF iliyojijengea kwa muda mrefu!
Kwa nini unapenda kuhukumu watu, nani kakutukana? nani mvamizi?
 
Back
Top Bottom