Jamani huyu rita kumbe ni mswahili?

siyo system, TIMING = failure

agree timing without realising who you are dealing with = failure. ungemlia timing rita usingeshindwa kujua rita ni mswahili. ulikurupuka ukaweka mayai kwenye kisalfeti na kubeba kichwa ukipeleka sokoni, lazima uloe gundigundi za majogoo kichwa

uzaifu ni kitu kibaya sana..... unaweka ndoto za mchana kuhusu future na rita wakati hata kumjua humjui vizuri

ushauri tu kwa wanangu: siku hizi wanawake ni wajanja kuliko wanaume, ya rita ni part gazeti tu
 
Dah naona ishakuwa mipasho, sasa sitachangia chochote katika hii post. ngoja ninyamaze niwaache wanaojua ukweli.
 
Mambo ya kawaida mapenzi yamekuwa gazeti unasoma leo kesho zamu ya mwenzako
 
Back
Top Bottom