Jamani huyu model Jenipher kama kashushwa

Uzuri kila mtu anauangalia kivyake, priority siku hizi sio wigi au calo rite bali hipsi na makalio (yasiyo ya m-vietnam) baada ya hapo ndio tunaangalia wizara ya mambo ya ndani!!!aongeze bidii kidogo "amfikie wifi yake"
 
Jamani msipagawe, hizi ni foto edit, kila kitu hapo kinatengenezwa!!!
 
Last edited by a moderator:
aisee hizi picha zimetoka bomba nani mpigaji?

Huu ni urembo wa kwenye mikebe na nywele za maiti.

Tazama hizo nywele hala nambie ndio alizozaliwa nao? Tazama hiyo rangi ya mwili? Mbona magoti meusi?

Hivi kwa nini tunamkosoa Mungu? Halafu tunajidanganya kuwa ni wazuri?

Hizo nywele za wafu au za bandia, hutowa harufu hata ufanye nini.

Na hizo dawa za kujichubuwa ngozi ndio usiseme. Ngozi ikichubuliwa hunuka ajabu, kama unabusha kaa karibu na mwanamke alie jichubuwa utanambia! Wananuka harufu ya kiajabu, hata ajitie manukato harufu ya ngozi iliyokufa huwa haiishi.

Tuwekee picha za mabinti walio natural halafu ndio tusifie, sio hivi vinuka ngozi!
 
Wewe una chuki binafsi sio bure hivi hiyo picha unayoizungumzia hapa ni ipi mkuu??
 
uzuri wa nyumba ni choo ndio,ila mazingira ya nje,sebleni na jikoni kuna husika saaaana...mana ukienda kwa mtu hauanzii chooni.So sura na umbo vinahusika...She z cuuuuuteeee.
 
Mie kwangu supa modo Tanzania atabakia kuwa huyu, anatisha kwenye kiwanda cha modo, hana mpinzani kwa ujasiri, toto natural..

66553_124064297648206_100001339101765_115553_2242580_n.jpg
 
Back
Top Bottom