Jamani huu ndio ukweli toka moyoni mwangu

Jamani huu ndio ukweli toka moyoni mwangu

Mambo Kokudo, mbona uliondoka bila kuniaga? Kokudo lazima unilipe, machozi yangu niliyolia kwa ajili yako.
 
DA mwaga hadharani bwana pm ya nini?Mzima lakni?wakujitutumua nae poa?

Mmhh nawewe acha basi mwenyewe kashaona.............Mie mzima nakumiss tu. Hivi huyo pacha wako yuko wapi?? We wamjua nijuze basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom