Jamani hivi wanaume mnataka nini kwa wanawake?

Jamani hivi wanaume mnataka nini kwa wanawake?

Tamaa kaumbiwa binadamu na mapungufu pia kaumbiwa binadamu huwezi jua utakuta katika yote hayo uliyonayo / unayoyafanya bado kuna mapungufu unayo.

Na pia kuna baadhi ya wanaume hawajaumbwa kuridhika hata ufanye nini. Hivyo akili kumkichwa my dear.
 
Aiseee inabidi niwasamee bureee

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante sana.

Mfano, mdogo, angalia kila mtu /mwanaume hapa kwenye hii thread ana kitu anachokitafuta.

Ila mbaya sana, ni kwamba sisi ni rahisi sana kutengeneza hitaji jipya ndani ya mwanamke tuliyenaye .

Sasa likikosekana kwake tunaenda kwengine kulitafuta.

Japo, mi [HASHTAG]#Poise[/HASHTAG], sifanyi hivyo. Mmoja tu kutoka Tanga Line amenitosheleza.
 
Nitajuaje kama sipendwi? Kwani mnakuwa mmeweka mabango usoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo akupendi njoo kwenye eden ya mapenzi huku...utakula pepo mpaka ujute kwanini hukunijua mapema...Love where mans phone is free, No lies, No excuses, All time available na mengine yote unayotamani!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tatizo ladha tofauti mamaaa......!!kwani we unaweza kula matembere kila siku????
 
Asante sana.

Mfano, mdogo, angalia kila mtu /mwanaume hapa kwenye hii thread ana kitu anachokitafuta.

Ila mbaya sana, ni kwamba sisi ni rahisi sana kutengeneza hitaji jipya ndani ya mwanamke tuliyenaye .

Sasa likikosekana kwake tunaenda kwengine kulitafuta.

Japo, mi [HASHTAG]#Poise[/HASHTAG], sifanyi hivyo. Mmoja tu kutoka Tanga Line amenitosheleza.
Ahaaaaaaaaaaa.kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom