Jamani hivi wanaume mnataka nini kwa wanawake?

Chimps

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
560
500
Wadada mkishaolewa mnaacha yale mlowazoesha wapenzi wenu, unabakia na ste moja tu. Wakati huo huo mchepuko unajiachia kila aina ya style ninayotaka. Jiongezeeeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mshipa

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
11,821
2,000
Tamaa kaumbiwa binadamu na mapungufu pia kaumbiwa binadamu huwezi jua utakuta katika yote hayo uliyonayo / unayoyafanya bado kuna mapungufu unayo.

Na pia kuna baadhi ya wanaume hawajaumbwa kuridhika hata ufanye nini. Hivyo akili kumkichwa my dear.
Wanawake wa miaka hii wamekuwa wa binafsi sana anataka wa kwake peke yake hawaonei wenzake huruma wakati mpo wengi kuliko sisi, mbona zaman haya mambo kulialia hayakuwepo wazee walikuwa wanajipigia tu mdogo mdogo
 

Akhy D

JF-Expert Member
Jun 10, 2013
365
500
Womens are fruits each one with a different flavour, but men love fruit salad


*You get what you work for not What you wish for*
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom