Jamani hivi wanaume mnataka nini kwa wanawake?

Kulikoni huko pole kwa yaliyokusibu.

Usituhukumu wote hivyo unafanya makosa.
 
Haha....akili zetu tunazijua wenyewe tu...kama vile nyie mnavyojielewa......tatizo mko wengi mno na kila mtu anauzuri wake unique....ukijitahid mtahani..utakutana na maua mengine kazini, barabarani yaan kila sehemu....sasa hapa mwanaume anaponaje....??Hahaha....na ukiona kaanza kuzingua ujue kuna mtu kachukua temporary nafasi.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom