heshima_pesa
Member
- Sep 2, 2017
- 5
- 7
Hahaaa. Shemeji hujutii kuifahamu Tanga. Lol.
Nakusalimia shemeji. Mdogo wangu hajambo?
Kama wana mapozi achana nao mkuu, ntawatokezea mwenyewe huko lushoto next month.
I think you know what will happen when the beast of beasties meet the beast[emoji35]You will end up in a jungle of lions and crazy beasts.
Ok MkuuMkuu, Azazel,
Hawana mapozi ya ubaya bali ni haiba na nidhamu ya Tanga, kuwa watoto kule ni lazima wajiheshimu na wajitunze.
Ndiyo maana, hata katika jumbe nilizotoa wito niliongezea maneno haya "Nawaheshimu watoto wa tanga na wanatanga wote"
Hayo maneno , ni kuonesha nidhamu na adabu yangu kwa wanawake wote na wanatanga wote.
Kwa hiyo, usifanye haraka mkuu kama dreva wa bodaboda.
I think you know what will happen when the beast of beasties meet the beast[emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok Mkuu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] Hongera sana shemela.My Sister in Law emmyta - Tanga region gave me an angel wife and a paridise home / a family. I am real blessed.
Yaani, nashukuru sana Tanga kuwa Tanzania.
Sure , and once you have a scratch, there is nothing to fear except the fear itself. I think is understood what type of men are not satisfied with the kind of girls mentioned in the threadObviously, you won't get out a safe without a single scratch.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] Hongera sana shemela.
You need to thank god every single time for being blessed because may people crying everyday because of lov.
Mzima lakini shemeji?
Karibuni sana shemeji.OK,
Thanks, I do.
Tu wazima sote.
Nitajitahidi nije Tanga kuwasabahi mwishoni mwa mwaka huu. Japo, tumebanwa na majukumu ya kikazi.
Tunawapenda,Tanga.
Ngoja nikucheck PM mkuu,Asante, mkuu kwa kuelewa.
Nikukumbushe jambo, kwa Tanga , watoto wao wanahitji mutu muelewa.
Ukiendelea hivyo unaweza ukabahatika.
UmeamkajeHahahaaaaa. Umeonaeee
Sijambo mkuu. Kwema?Umeamkaje
Kwema sana ,, familia yako haijambo ?Sijambo mkuu. Kwema?
Mkuu, Azazel,
Hawana mapozi ya ubaya bali ni haiba na nidhamu ya Tanga, kuwa watoto kule ni lazima wajiheshimu na wajitunze.
Ndiyo maana, hata katika jumbe nilizotoa wito niliongezea maneno haya "Nawaheshimu watoto wa tanga na wanatanga wote"
Hayo maneno , ni kuonesha nidhamu na adabu yangu kwa wanawake wote na wanatanga wote.
Kwa hiyo, usifanye haraka mkuu kama dreva wa bodaboda.
Haijambo inakusalimia. [emoji23] [emoji23]Kwema sana ,, familia yako haijambo ?