Jamani hivi wanaume mnataka nini kwa wanawake?

Hahaaaa. Itakuwa alikuwa mbali na simu mana hana kawaida hiyo. [emoji23]
Daaah Basi nikajua kale kamkwaruzo kalokuwepo ushamwambia nasasa kasusa[emoji24] [emoji24] [emoji24] alafu wife vimkwaruzo vidogo km ivi kazi yake nikunogesha radha ya ndoa bana !! Unavyoninuniaga mwenzio nahisi dunian nipo mwenyewe..

Aya nambie unarudi lini maana nmekumis sana[emoji7] [emoji7] najana nmekuchukulia ile zawadi yako unayoipendaga.
 
Nimecheka sana ujue daah. Hii ndio moja ya sababu inayonifanya nisijutie kuifahamu jf. Lol.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Heeeee so you are just insulting me indirectly ??[emoji27] [emoji27] [emoji27] ... Rudi nyumban bana nmekumis ujue !!.

Ya JF yaache kua ya JF.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Aiseee. Haya mkuu. [emoji124] [emoji124] [emoji124].
 
Asante hilo ndo neno nilokua nalisubiria ,,mwenzio nyumba naiona km nikuzimu , joto lako ,, soga zako ndan ya nyumba zilifanya kilakitu kua sawa!!. Sasa mmmhhhhh wee naye ukinunaga [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpaka ubebwe mgongon .

Njoo bana ,unipikie kile chakula changu nmekimis .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom