Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,235
- 93,711
Umekua kimya tena[emoji24] [emoji24]
Umekua kimya tena[emoji24] [emoji24]
Hongeraa mkuu... Hakuna jambo zuri kama mwanaume kutulia na mwanamke mmoja, yaaani unaheshimika na baraka hazikauki kwakoKweli mtusamahe tu.
Japo, Mimi nimempata mmoja kutoka Tanga, tangia hapo najielewa na ananitosheleza.
Nashukuru sana , mkoa wa Tanga kuwa Tanzania
Wewe unayo chura bibie...?[emoji16][emoji16][emoji16]amna lolote unakuta ana chura na bado unachepuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani naomba wanaume mje hapa... Hivi mungu kakupa mke mwema, mchapakazi, msafi, anajituma, anakupenda na bado huna shukrani. Mungu anawaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora nipende hela najua nikiwa na shida itanisaidia,sio hawa viumbeNdio maana mahaba yangu nimehamishia kwenye helaa.
Najua unataka nizingua huna loloteeeeUmekua kimya tena[emoji24] [emoji24]
Huo ndio ukweli huo mkuu
Hongeraa mkuu... Hakuna jambo zuri kama mwanaume kutulia na mwanamke mmoja, yaaani unaheshimika na baraka hazikauki kwako
Hongeraa mkuu... Hakuna jambo zuri kama mwanaume kutulia na mwanamke mmoja, yaaani unaheshimika na baraka hazikauki kwako
[emoji23][emoji23]nakosajee kwa mfanooWewe unayo chura bibie...?
Hongeraa mkuu... Hakuna jambo zuri kama mwanaume kutulia na mwanamke mmoja, yaaani unaheshimika na baraka hazikauki kwako
Karibu mkuu, na uzidi kubarikiwaKabisa , ni siri kubwa sana uliyoitoa.
Hata nami, naona baraka kila sekunde katika maisha yetu. Hata kwa kazi zangu.
Asante .
Sasa nikuzengue nini ??? Mwanamke mzuri hazenguliwi bana .
Mkuu naomba uniconnect na mtoto yeyote mzuri wa kitanga.Kweli mtusamahe tu.
Japo, Mimi nimempata mmoja kutoka Tanga, tangia hapo najielewa na ananitosheleza.
Nashukuru sana , mkoa wa Tanga kuwa Tanzania