Jamani hivi wanaume mnataka nini kwa wanawake?

Jamani hivi wanaume mnataka nini kwa wanawake?

Ongelea kwa wanaume hao unaowafahamu,ila sisi wengine hatupo hivyo.
 
Jamani naomba wanaume mje hapa... Hivi mungu kakupa mke mwema, mchapakazi, msafi, anajituma, anakupenda na bado huna shukrani. Mungu anawaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mke mmoja udumaza akili.

Fact mwanamke mmoja hatoshi.

Fact number 2 wanawake wapo wengi zaidi ya wanaume, tukiganda kwenye ndoa za kikatoliki kuna hatari ya wanawake wengi kukosa kuolewa au hata kukosa boy friend.

Huu ndio ukweli mtuvumilie tu, wewe ukiwa ndio number one heshima yako iko palepale.

Mmmmmh

Aiseeeeh,

Mimi niko na mke mmoja kutoka Tanga akili iko active na kazi pamoja na riziki na maendeleo kwa sana

Acha kujilisha sumu kwa mrija kuwa mke mmoja akili inadumaa. Siyo kweli.
 
Mkuu naomba uniconnect na mtoto yeyote mzuri wa kitanga.

Jamani wana MMU,

[HASHTAG]#Azarel[/HASHTAG], anahitaji mtoto (ambaye hajaolewa) kutoka Tanga

Njooni basi jamani.

Binafsi, nimepata mke bora kutoka Tanga. Naiheshimu sana Tanga. Na wanatanga wote.
 
Mkuu naomba uniconnect na mtoto yeyote mzuri wa kitanga.

Ila kanuni ni moja kwa mtoto kutoka Tanga, anapenda awe pekee hakuna kuleta wengine au michepuko.

Uwe naye tu siyo Uwe kama nyuki kwenye maua.
 
Ila kanuni ni moja kwa mtoto kutoka Tanga, anapenda awe pekee hakuna kuleta wengine au michepuko.

Uwe naye tu siyo Uwe kama nyuki kwenye maua.
Nimekubaliana na masharti Mkuu.

Ilimradi tu nimpate wa pande hizo.

Akiwa Mkristo nitafurahi zaidi mkuu.
 
Nimekubaliana na masharti Mkuu.

Ilimradi tu nimpate wa pande hizo.

Akiwa Mkristo nitafurahi zaidi mkuu.

Nimewaita Tanga subiria uone kama watakuja.

Japo, Tanga heshima ni kubwa sana sina uhakika kama watakuja aiseeeeh!!
 
Nimewaita Tanga subiria uone kama watakuja.

Japo, Tanga heshima ni kubwa sana sina uhakika kama watakuja aiseeeeh!!
Kama wana mapozi achana nao mkuu, ntawatokezea mwenyewe huko lushoto next month.
 
Jamani naomba wanaume mje hapa... Hivi mungu kakupa mke mwema, mchapakazi, msafi, anajituma, anakupenda na bado huna shukrani. Mungu anawaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamjasomana vya kutosha!Licha ya mafundisho ya wazazi/walezi,makasisi/mashekhe,kitchen parts/makungwi mkishaoana anzisheni darasa lenu mjadiliane namna ya ku enjoy ndoa yenu!
 
Hpa tatizo sio kitukikubwa tatizo ninamna mlivyotaka namna yakimausiano yawe pande zote mbili,
1.kujipendekza kuzid vipimo
2. Ulimbuken wa mapenzi
3. Akili ndogo kutawala kubwa
Pendekezo tujiludi mapenzi/mausiano siomchezo wa kamali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunaomba ufafanuzi kwenye point zako
 
Kweli mtusamahe tu.

Japo, Mimi nimempata mmoja kutoka Tanga, tangia hapo najielewa na ananitosheleza.

Nashukuru sana , mkoa wa Tanga kuwa Tanzania
Hahaaa. Shemeji hujutii kuifahamu Tanga. Lol.

Nakusalimia shemeji. Mdogo wangu hajambo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom