Jamani hivi wanaume mnataka nini kwa wanawake?

Sure mkuu ,, ujue kwa maelezo aloyatoa hapo juu anasitahili kuenziwa na kupewa malezi sawa na malezi ambayo hupewa mtoto mchanga toka kwa mama yake.

Mwanzo nilijua mwanamme anachepuka sababu mkewe hatimizi majukum yake,, sasa Binti wawamtu anajitahidi mpaka anaumia ,,kwann asipewe anachostahili ???? .penye miti huwa Hanna wajenzi.
Hahaaaa. Kama kwa upande wako umeona hivyo sio mbaya mkuu. Kila la kheri.

Cc. Miss muya
 
Yaani hawa mendez wallah sina cha kusema ila ingekua amri yangu ningejenga ukuta mkuuubwaaaa tungeishi wanawake kwetu na wanaume kwao kila mtu angepambana na hali yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaha leo unanfurahisha mkuu
Unaweza ukawa na tuchura tudogo lakin mumeo akija jion unakuwa mazingira fulani (rejea sifa kuu tanga)
Tudogo lakin mumewe anakuona kama tukubwa

Ebu itendee na khanga kazi ake
Sio suruali tu
Tunajitahidi kweeeli na hutu tuchura... Shida ni akutane na hilo lichura hukooo barabarani mkuu akili yote inahama kwa muda... Tanga ndo kitovu changu kilipo lakinii mkumbuke nyie Mungu anawaona
 
Ndio mkuu.... Kwenye chura mmoo, kwenye chuchu mmoo, kwenye macho mmoo, kwenye mwanya mmoo.... Sasa naona kuna papuchi mtuno namo mmoo sa tuelewe lipi mkuu
Hapo kwenye papuchi mtuno ndo ulevi wangu...
 
Sure mkuu ,, ujue kwa maelezo aloyatoa hapo juu anasitahili kuenziwa na kupewa malezi sawa na malezi ambayo hupewa mtoto mchanga toka kwa mama yake.

Mwanzo nilijua mwanamme anachepuka sababu mkewe hatimizi majukum yake,, sasa Binti wawamtu anajitahidi mpaka anaumia ,,kwann asipewe anachostahili ???? .penye miti huwa Hanna wajenzi.
Kabisa jamani....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom