BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,466
- 10,976
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), Godfrey Mngereza (kulia) akiwaongoza waombolezaji wengi wao wakiwa wasanii kubeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa msanii, Michael Mhina 'John Walker' wakati wa kuutoa mwili chumba cha maiti Hospitali ya Taifa ya Muhimbili tayari kwa kuombewa na kuagwa katika Kanisa la Muhimbili, Dar es Salaam. Mwili wa Mhina ulisafirishwa kwenda kwao, mkoani Tanga kwa mazishi.
My take:
Hii picha ya katibu wa Basata haijakaa sawa kama vile alikuwa anaisubiria kw ahau kweli apigwe na inaonesha hana hata chembe ya huzuni. (HUU NI MTAZAMO WANGU)