Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 14,240
- 26,039
Kama zipo basi hata hao wanaozimwaga zinawaathiri pia. Na kama wanazimwaga ndege zinapopita Afrika, kwani wazungu hawapo Afrika? Conspiracy theories tu hizo hadithi za vijiweni za wazunguVipi kuhusu Chemtrails? Ni kweli kuna mataifa yanafanya hivyo?
Na kama chemtrails kwa mfano ni kwa ajili ya uzazi wa mpango, basi zimewaathiri wazungu wenyewe, maana wao population zao ndio zina tatizo, sisi huku tunazidi kufyatua watoto!