KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,772
- 86,460
Kuna na ile ya samaki kutokea juu hi mpk kesho nitaendelea kubisha..😜Hawa wazee walitupiga kamba sana zamani kwa umbumbu wao.
Kuna na ile ya samaki kutokea juu hi mpk kesho nitaendelea kubisha..😜Hawa wazee walitupiga kamba sana zamani kwa umbumbu wao.
Ndege huwa zinamwaga mafuta pindi zinapotaka kutua.Duuh,Mkuu mababu zetu huwaga wasanii ila wakwako kazidi aisee,ningetamani nimuone,ok kwa kifupi hiyo ni ndege kubwa(jet) yaweza kuwa aina yeyote Airbus,Noon nk,kuhusu suala la kumwaga mafuta wakati wa kutua ni uongo,na pia Kama ukibahatika safiri safari za kimataifa huko Angani utaziona nyingi tu na ni ndege za kawaida,kuhusu u wanja kwa zamani ndege kubwa tulikuwa hatuna Ila Sasa hivi ndege yeyote yaweza tua DIA
Picha na maandishi yajielezajHii nadhani kwa Tanzania kila mtu amesha wai ona ikipita angani hasa pasipo kuwa na mawingu.wakati mdogo mzee aliniambiaga Ina itwa loketi ni jamimi ya ndege laki Africa hamna uwanja wa kutua alafu ikitua humwaga mafuta Kwanza lakini Niki Google sioni story yake kwa anae jua isaidie
Umemaliza mkuu...Kwa ufupi tu kinachotokea pale ni kwamba,kama umewahi kuishi sehemu zenye baridi kama iringa au mbeya kuna muda ukiamka asubuhi ukiongea una toa moshi/mvuke mdomoni sasa basi hewa inayotoka mdomoni inakua ni ya moto kuliko inayokuzunguka nje kwa hiyo inakua inalazimishwa kupoa itokapo mdomoni hapo ndipo unaona ule moshi ukipumua kupitia mdomo na ndivyo hivyo hivyo kwenye ndege zinazopita kwenye anga za kimataifa pale kunakua na baridi kali kwa hiyo hewa ya joto kali inayotoka kwenye jet engine ikikutana na baridi kali inalazimishwa kupoozwa hapo ndipo unapo ona ule moshi/mvuke
Nadhani utakua umeelewa kwa ufupi mleta uzi
Kweli ndege inapotoka point A to point B rubani ana calculate umbali ,speed per miles kiasi cha mafuta na uzito wa ndege hivyo kama amatembea vzuri na amefika destination alafu hali ya upepo ikawa na mgandamizo mdogo yaani upepo wa kubeba uzito wa denge wakati inatua isitue kama mzigo kupunguza mshindo inabidi apunguze mafuta ili kupunguza uzito wa ndege na kumbuka mafuta yana kaa kwenye mabawa na huwa ya funguka wakati wa kupaa ili kasi yandege kwenye run way inasaidia kuinyanyua ndege juu kwa kukata upepo na mabawa hufunga kuinama chini wakati wakutua ili upepo upite kwa kiasi hivyo ndege huwa nzito hivyo akiona ndege ni kubwa na hakuna hali nzuri ya kutua hupunguza mafuta kama yapo mengi lakini ni mara chache maana ndege hutembea kwa vipimo ili kumaintain uzito angani hakiona halimbaya ya hewa au hatari ya kuanguka hufungua mafuta yatoke ili ikianguka isilipuke nimekujibu kwa njia ya jadi lkn utakuwa umenielewaNdege huwa zinamwaga mafuta pindi zinapotaka kutua.
Iko hv kadir unavyopanda juu ndo barid linaongezeka,mfano ukpanda mlima mrefu,Ngoja ngoja twende taratibu jibu na hili inakuwaje hapa duniani tunapata joto kali na huko juu kuwe na baridi kali wakati joto tunalolipata huku ndo linatoka huko..??????
Ni kweli urusi ndio ilikuwa ya kwanza kutengeneza rockets za kwenda anga za juu na ndege kubwa kama antonnov,corncord,nk kipindi hiko marekani anasubiri kwenye rockets anga za juuWalkuaga wanatwambia eti ni ndege za urusi mweee utoto jamani
Hawakukosea sana,nyingi ktk hizo ni ndege za antonov zinatengenezwa urusi ndio ndege kubwa zaidi duniani upande wa migo zina uzito wa tani 200,000+Walkuaga wanatwambia eti ni ndege za urusi mweee utoto jamani
Toa sababu kwanini liongezeke..??Iko hv kadir unavyopanda juu ndo barid linaongezeka,mfano ukpanda mlima mrefu,
Kwa uelewa wangu, miale ya jua inavyokua inatoka kwenye source (jua) kuja ardhini huwa haichomi inakua na (long wave) bali kinachosababisha tuhisi tunaungua ni pale inapo hit ground ikiwa inarudi juu inakua na short wave hivo tuliopo ardhini tunahisi kuungua maana miale inapokua inarudi kwenye source (jua) inaanza kukutana na sisi tuliopo ardhini, na kadiri inavyozidi kurudi juu ndivo inapoteza nguvu inakua (long wave) hiyo ndiyo sababu huko anga la mbali inakua baridi na huku chini tunahisi joto, kwa anaeelewa zaidi atanikosoa , AsanteeNgoja ngoja twende taratibu jibu na hili inakuwaje hapa duniani tunapata joto kali na huko juu kuwe na baridi kali wakati joto tunalolipata huku ndo linatoka huko..??????
Duh!!!,Kwanini sasa itue viwanja hivyo viwili tu???.Kwa uelewa wangu huu mdogo, ila wanaojua zaidi watasema hii ni Ndege Kasi aina ya Concorde ambayo kwa Afrika inatua tu Cairo na Cape Town.
Mimi mwenyewe niliwahi ambiwa kuwa hizo ni Rocket.Mada kama hii ililetwaga humu jamvini 2014. Mda mrefu wabongo tumelishwa sana matango na kamba iyo ni rocket