Jamani hii imekaaje kwa wameru

Jamani hii imekaaje kwa wameru

Nikweli kabisa huko ni kwetu na ukipangiwa mchango kama hujatoa ni bora uhame kabisa balaa' meru yote sin'gis' akeri' ngwandrua'poli' tengeru' ndoombo' maroroni' majiachai katiti' makiba' kwaugoro' karangai' kitefu.
 
Hii mira ikitekelezwa nchi nzima huwezi kutana na wacheza pool saa 4 asubuhi au sijui panya road.
Watu wanaoiponda mira hii wajiulize kuhusu faida zake kwanza.
 
Sasa kumekosekana adhabu nyingine ya kiutu uzima ya kupewa tofauti na iyo? Embu imagine kama uyo jamaa leo anaweza akawa na nguvu ya kumuonya mtoto yoyote mtaan ilhali watoto washamuona amechezea za kutosha!!!?
Wacha atandikwe. Utaachaje kwenda msibani?
 
70 na mie nimeisikia sn hii. Ss sijui wadada unakuwaje?
Na nasikia ni agizo la mringaringa-mti maalumu wa kimila unaotoa maamuzi ya mwisho,je ni kweli?
Nilikuwepo huko miaka fulani na nilitembelea vijiji kadhaa,aisee wakimwona mgeni wanaanza kumwangalia na kupay attention sn.
That's Meru bwana.
 
Hahaha mimi mpka unilaze hapo chini basi damu ishamwagika nyingi tu.
 
Tulikuwa pale Usa jamaa mmoja anaitwa tareto akawa anazozana na wenzake. Katika purukushani akawaambia "Waare Lumuwaa" afu akatoka nduki..eti alimaanisha nini hapo?
Makishabo hahaaa
 
Wa-MERU wana LAANA ya ASILI. Fuatilia maisha yao kwa ujumla ni balaa balaa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom