Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,936
- 10,560
Na apigwe tu maana hakuna namna unashindwa kwenda kuwazika wenzio wewe utajizika?
Mkuu wewe kama sio wa seela basi ni akheri, nasindiswa ndu wakweru!Hahah chezea sing'isi wewe
hahahaaa mi bado hamjanichapa asee,,bora mnipige exile km okonkwo tuu

Hawa Jamaa hawaangalii wewe ni nani ukiharibu tu wanakupa Kubwa na inatambulika sio kwamba ni blabla.
Kuna Jamaa aliazima CD ya blue akaanza kumshirikisha wife zile sarakasi za kwenye CD wife akashtaki kwa wazee Jamaa akachezee 70 ahahahahaha.

Sabini haiwahusu wanawake![]()
![]()
![]()
![]()
Wanawake nao wakikosea adhabu yao ni nini?
Hahah hii akheri mkuu,nimecheka sana daah.Mkuu wewe kama sio wa seela basi ni akheri, nasindiswa ndu wakweru!
Anachapiwa sehemu ambayo watoto hawapoSasa kumekosekana adhabu nyingine ya kiutu uzima ya kupewa tofauti na iyo? Embu imagine kama uyo jamaa leo anaweza akawa na nguvu ya kumuonya mtoto yoyote mtaan ilhali watoto washamuona amechezea za kutosha!!!?