Jamani hii imekaaje kwa wameru

Hawa Jamaa hawaangalii wewe ni nani ukiharibu tu wanakupa Kubwa na inatambulika sio kwamba ni blabla.

Kuna Jamaa aliazima CD ya blue akaanza kumshirikisha wife zile sarakasi za kwenye CD wife akashtaki kwa wazee Jamaa akachezee 70 ahahahahaha.
Duh... huyo mke... hapendi utamu???
Chezea wameru nenda vijijini kwao umevaa mlegezo uone!
 
Tena kwa wamaasai ole wako kijana ukutwe hujavaa yale marubega yao na fimbo na sime huna utakoma ubishi utapelekwa kwenye jumuia yao utapata viboko vya kutosha ukitoka hapo akili zinakurudi nimeipenda hii ingekuwa kwa makabila yote maadili yangekuwepo
Hapana sio lazima
 
Nimeitoa mahali tu...

Binafsi mi sikubaliani na hili kabisa.
Kamati ya maadili ukoo wa Urio Meru kijana akitumikia viboko 70 vya makalio baada ya kutohudhuria msiba wa ndugu yake akaenda kufanya kazi yake ya bodaboda Tengeru, Arusha

15355779_1355343464509026_8834230546945906487_n.jpg
Kwa kuwa mbunge wao ni rika hilo aje hapa atuambie km anakubaliana na hii,
 
Hawa Jamaa hawaangalii wewe ni nani ukiharibu tu wanakupa Kubwa na inatambulika sio kwamba ni blabla.

Kuna Jamaa aliazima CD ya blue akaanza kumshirikisha wife zile sarakasi za kwenye CD wife akashtaki kwa wazee Jamaa akachezee 70 ahahahahaha.

Nimeitoa mahali tu...

https://scontent-amt2-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/15355779_1355343464509026_8834230546945906487_n.jpg?_nc_eui2=v1%3AAeGfmsex-7A59ZLtT0fzOGuBO2tihxNpbnsCsSuyVTJpciGJAvlK29i2Jwd6xFpJ-DLM9zeJVMiaZZvTRvW9dlmHlv_GGCyxV
unakula sabini na huwa hatuangaliagi afya!
 
Alihama mda mrefu sana,kwenye miaka ya 2005.
Sawa mkuu , one among the best doctors! Yule hana vipimo vikali vya maabara lakini matibabu yake ni very accurate! Aisee nakumbuka mengi sana kuhusiana na huko meru! Kwa kifupi nimeona na kujifunza Mengi!
 
Kweli alikua Dkt mzuri sana,Meru ni nyumbani au ulikua unaishi kwa mda?
 
Mkuu baasi itakua unamfahamu dokta Molel, yule pale dispensari alikua anaweka mkono mmoja mfukoni na kasuzuki kake keupe!
Hahah Dr.Mollel alikua maarufu sana,ni muda mrefu sana sijamuona nadhani alihamu mkuu.Vp ulishawahi kuishi mitaa yetu hii mkuu.
 
Hawa Jamaa hawaangalii wewe ni nani ukiharibu tu wanakupa Kubwa na inatambulika sio kwamba ni blabla.

Kuna Jamaa aliazima CD ya blue akaanza kumshirikisha wife zile sarakasi za kwenye CD wife akashtaki kwa wazee Jamaa akachezee 70 ahahahahaha.
Huna maana kabisa,ulishindwa kumtetea jamaa yako,,,?
 
Back
Top Bottom