Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 38,648
- 49,074
Unaweza kusema ni nyumbani maana nimeishi huko kwa muda! Kimeru nakijua na kukisikia! Hakuna sehemu ambayo siifahamu huko meru, wala mtu maarufu yoyote wa zamani ambaye simfahamu! Japhet kirilo, kina sarakikya, kaaya wote, you name it. Ukisema nkoaranga, ndatu, ndoombo, sasi, bangata, patandi, mto nduruma, makumira, kilala , tengeru, usa, someli , huko napafahamu vyema mkuu! Na lugha naijua!Kweli alikua Dkt mzuri sana,Meru ni nyumbani au ulikua unaishi kwa mda?