Jamani eti Khanga moja!

Ernie

JF-Expert Member
Aug 3, 2010
217
23
Jamani mi naomba watu kama wanaanzisha vitu/Starehe hapa Dar wawe wabunifu na kufikiria wakifanyacho, Talking about the Khanga moja thing, Jamani hao wanawake ni vumbi, wachafu, wanakalisha watu mpaka saa 6 na nusu bila entertainment yeyote, sehemu haina viti, ndogo, congested! damn it, wanajamii wenzangu ambao mshawahi kuhudhuria naombeni mtoe changamoto kuhusu hili, nanyi ambao hamjawahi kufika tafadhali dont waste your time there!
 
Mh siwezi kukomenti vizuri, lakini ukiona pamoja na kero zote hizo lakini watu wanaenda na wengine wanawaulizia wko wapi basi ujue kuna mambo
 
Kituko, Suala ni kwamba the way pipo talk abt it, when u get there yaani u ll be shokd! unajua wabongo tuna ulimbukeni flani hivi tunapenda sana kuhakikisha ila nina imani if ur a man or woman of class u wont enjoy that na ukifika mara 1 hutarudia tena, ila sjui kila mtu na starehe yake
 
ah ah ah pole my dia hata jana nilikuwa pale,thats the real meaning of entertainment dear,kama unataka raha na starehe si ungekaa kwako?but ol in ol tunapenda kukaa a watu na kujumuika na starehe zaidi inakuja sehem ambazo si officail kiivyo mfano bar/gesti za vichochoroni,etc
 
This is a good one! jes need pipoz thinking in here, but if u were there yestday and u enjoyd then ur one of those who dont know wat entertainment means
 
ok then wat does it mean to you?to mi ni kuwa na mafriend,kula kunywa na kufurahi and thats wat happend so I real enjoyed,if its for the venue yap ni mbay coz ni ngodo sana na watu ni wengi kuhusu kukaa wengi wetu hatujazoea sherehe za kusimama hapo ndipo hasa tatizo linapokuja,lkn I belive kama ni hizo starehe nilizosema jana then if u cnt be entertained si unajientertain mwenyewe jama?nilikunywa,nilikula,nilicheka na kufurahi.
This is a good one! jes need pipoz thinking in here, but if u were there yestday and u enjoyd then ur one of those who dont know wat entertainment means
 
jamani mi naomba watu kama wanaanzisha vitu/starehe hapa dar wawe wabunifu na kufikiria wakifanyacho, talking about the khanga moja thing, jamani hao wanawake ni vumbi, wachafu, wanakalisha watu mpaka saa 6 na nusu bila entertainment yeyote, sehemu haina viti, ndogo, congested! Damn it, wanajamii wenzangu ambao mshawahi kuhudhuria naombeni mtoe changamoto kuhusu hili, nanyi ambao hamjawahi kufika tafadhali dont waste your time there!

sasa wewe ulifuata nini huko?
 
mi sijawahi kwenda, ila kama watu wanaweza kusubiri masaa sita, inaelekea ni patamu, ngoja nitafute nikajionee mwenyewe.
 
mi sijawahi kwenda, ila kama watu wanaweza kusubiri masaa sita, inaelekea ni patamu, ngoja nitafute nikajionee mwenyewe.

Sjasema kwamba ni pabaya kwani kila mtu ana mtazamo wake! ila nashkuru kwa upeo wenu pia
 
khanga moko tepetepe jamaa alikuwa na picha ya yale magari makuuuuubwa yamefungasha tela za haja lkn alipokuja kuwaona ikawa ndivyo sivyo tehe
 
khanga moko tepetepe jamaa alikuwa na picha ya yale magari makuuuuubwa yamefungasha tela za haja lkn alipokuja kuwaona ikawa ndivyo sivyo tehe

Ebwana umejuaje? yaani unakuwa kama kaka kuona!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom