Jamani Eeeh

@pearl
jamani sikuwa na taarifa tangu juzi net yangu ilikuwa kwikwi na ndio naona sasa hii treat naningependa kuchangia na mm nifanyeje na kikaoni siwezi fika au naomba namba yako nikuingizie vocha then uniwakilishie pls pearl
 
He! Hapo ndipo utata unapoanzaga hapo! No retreat no surrender!
 
vocha alafu niuze?ok send me ur no Ntakupigia kama nilivyofanya kwa wengine then ntakutajia my no just ni PM
@pearl
jamani sikuwa na taarifa tangu juzi net yangu ilikuwa kwikwi na ndio naona sasa hii treat naningependa kuchangia na mm nifanyeje na kikaoni siwezi fika au naomba namba yako nikuingizie vocha then uniwakilishie pls pearl
 
Kama unaelekea posta unapita daraja ;la salenda,kama uko na daladal shuka kituo cha salenda muulize mtu yyte salenda club but kama una gari ukifika mataa ya salenda kama unaelekea posta ingia kulia zen kulia nisamehe sijui kuelekeza
tegeta mtaa wa msichoke!
 
So mtapenda kukaa pande zipi kule kwa membaz au kwa kawa?kwa kawa for example kuku ni sh 10,000,membaz ni sh 6,000 mnasemaje?
 
Kama unaelekea posta unapita daraja ;la salenda,kama uko na daladal shuka kituo cha salenda muulize mtu yyte salenda club but kama una gari ukifika mataa ya salenda kama unaelekea posta ingia kulia zen kulia nisamehe sijui kuelekeza

Pearl,

Salender hamna kituo, either utelemke Palm Beach fanya mazoezi/tembea mpaka "Traffic Light" za Salender halafu kula kushoto kama unaelekea Muhimbili/Tambaza then "kula" kulia ya Kwanza ... done...

Hii "outlet" enzi zetu ilijulikana kama Pink Coconut!
 
Kama unaelekea posta unapita daraja ;la salenda,kama uko na daladal shuka kituo cha salenda muulize mtu yyte salenda club but kama una gari ukifika mataa ya salenda kama unaelekea posta ingia kulia zen kulia nisamehe sijui kuelekeza

Mwambie mkipotea akupigie simu! Ila nahisi Xpin anakuzingua tu, hakuna baa ambayo haijui hapa mjini! :)
 
Thx dear si unakumbuka nimesema cjui kuelekeza?
pearl,

salender hamna kituo, either utelemke palm beach fanya mazoezi/tembea mpaka "traffic light" za salender halafu kula kushoto kama unaelekea muhimbili/tambaza then "kula" kulia ya kwanza ... Done...

Hii "outlet" enzi zetu ilijulikana kama pink coconut!
 
So mtapenda kukaa pande zipi kule kwa membaz au kwa kawa?kwa kawa for example kuku ni sh 10,000,membaz ni sh 6,000 mnasemaje?

Shs 10,000 za nini tena? Kwani tunalipia kikao? No, we will just seat as if a few friends have met for a drink on a Friday evening!
 
Back
Top Bottom