Farudume12
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 621
- 352
unamtaka wanini? ushilawadu tu.
Hata angeuawa kwa Makombora ya kutungulia Ndege bado ilikuwa ni adhabu ndogo! Mungu amlaani na amdhalilishe zaid ya alivyofanyiwa Mwanaharamu Mkubwa yule
wewe ndio umejibu swali nashukuru nilikua nasubiri jibuyupo south Africa anandelea na kazi take ya udaktari. jk alimfanya kitu mbaya Hana hamu na tz
Kwani yy alifanya kosa gani Kama ngomo ule ulifuata taratibu zote za mono... Unatakiwa kuilaumu serikali kwakushindwa kutimiza wajibu wake... Nasi kufuaraia mtu kuteswa vile
"tunapata serikali tunayostahili", that means tunapata inayolingana na fikra na mawazo yetu na ukomo wa kufikiri. Got ya lil bro... Kunywa balimi mbili hapoNikisoma dhihaka kama zilizojaa katika uzi huu huwa nahitimisha kwa kukubaliana na falsafa ya Wafaransa Joseph de Maistre na Alexis de Tocqueville kwamba huwa tunapata serikali tunayostahili. Inashangaza sana lakini ndio hali halisi ya Watanzania wengi.
Kwa kifupi, ni jamii yenye hulka ya kutii na kuabudu mamlaka iliyopo kwa yote watakayotwishwa. Iwe ufisadi kama wa awamu zilizopita (hasa 3 na 4) au udikteta kwa gia ya kusafisha "uozo wa kutisha" wa hizo awamu zilizopita pamoja na zenyewe kuabudiwa sana nyakati zake. Bila shaka kabisa, kesho akiingia Ikulu mwenye kuuza nchi kabisa ataimbiwa mapambio ya sifa kiasi cha kutuacha wengine tukichanganyikiwa kabisa.
Hiyo ndiyo Tanzania halisi. Mara nchi ya uchumi wa gesi; mara ya viwanda, mara ya uchumi wa kati, n.k. Mara misaada ni muhimu kutuwezesha kula; huko nje hela ni nyingi sana - ni kiasi cha kuomba tu. Mara hatuitaki misaada yao; sisi ndio tutakuwa watoaji wa misaada. Waimba mapambio ya sifa wa awamu zote hizo ni walewale! Kama vile ni nchi ambayo raia wake wengi ni aina ya yale "ma-jokeri" ya kwenye karata.
Ni kweli mkuu, nilitaka niwajibu lakin kwa jibu hili sina cha kuongezaWatanzania wanakufa kila siku kwa magonjwa yanayotibika sababu ya huduma mbovu za hospitali zetu. Hupati huduma bora bila kutoa rushwa. Ni kama kuna passive resistance. Ni heri watu wagome wasiende kazini kuliko wakaenda halafu wakafanya kazi kwa kinyongo. Ule mgomo ulikuwa na faida moja kubwa-ulifungua mjadala wa kitaifa kuhusu huduma za Afya. Tulikuwa na fursa ya kurekebisha tatizo hilo once and for all. Haikutumika ipasavyo.
Nasikitika kwa mliopoteza wapendwa wenu kwa sababu ya mgomo. Mimi pia ni mhanga wa huduma mbovu za afya-nimepoteza ndugu kwa sababu ya magonjwa ambayo yanaweza kudhibitiwa. Hata hivyo sion kama ni busara kushabikia violence kwa sababu ya mtu anayedai haki yake. Pia kumbuka migomo haiepukiki-ndio maana ikatungiwa sheria. Serikali inatambua kwamba ni haki ya mfanyakazi kugoma. Lakini hakuna popote ambapo serikali inampa raia haki ya kuteswa na kujeruhiwa na dola. Hoja yangu inatokana na ukweli kwamba wapenda vurugu hawana mipaka. Wewe pia ni mhanga mtarajiwa wa yaliyomkuta Ulimboka.
Mhh Povu Vepee
Kila mgomo una faida na hasara zake, kuna watu wataumia na kuna watu watafaidika..madaktari wakigoma huduma zikaboreshwa huoni kama ni faida wagonjwa wengi watatibiwa vzrUngekuwa ulipoteza Ndg yako wa karibu kwny ule Mgomo usingeandika ulichoandika
Kila mgomo una faida na hasara zake, kuna watu wataumia na kuna watu watafaidika..madaktari wakigoma huduma zikaboreshwa huoni kama ni faida wagonjwa wengi watatibiwa vzr
South africaKitaani wanadai kuwa keshapigwa 'kufuli' yuko Uingereza anakula maisha na familia yake. Sijui kama ni kweli au laa
Sawa, lakini kwa nini unakuwa wa kwanza kumlaumu ulimboka na cyo serikali ambayo ilikuwa haitimizi madai yao yaliyopelekea mgomo?Aliepoteza Ndugu yake Ana haki ya kulaani Mgomo ule kwa Nguvu zote kwa kuwa huduma bora zikiboreka ni kwa Wagonjwa wapya au Waliopo sio Waliokufa kwa kushindwa kusaidiwa kuwa watarejea ku enjoy,
Aliehitaji Operation ndogo tu ya Mguu mpaka ikapekea Akatwe Mguu nae asikitikie Mateso ya Ulimboka?
Hivi ni specialist wa nini?Yupo, mwenye afya njema, akiendelea na shughuli zake
Baghdad pia zipo kama hizi!Hii namba ya Somalia.
Nilivyosikia alishatangulia mbele za haki aligongwa na gari maeneo ya ubungo mwaka jana kimya kimya haikutolewa gazetiniWana jamvi,
Naomba kuuliza alipo Dr. Ulimboka. Mara ya mwisho nilimsikia alivorudi toka matibabu. Tukasubiri press conference lakini hadi leo sijasikia allishia wapi.
Mtu yeyote mwenye kujua huyu bwana yuko wapi na anafanya nini sasa hivi anisaidie.
Labda wengine mtaniuliza kwanini nauliza au ananihusu nini.
Kiukweli nimemkumbuka tu kama binadam mwenzangu na kwa vile habari zake zilivuma enzi hizo sio vibaya kujua anaendeleaje huko alipo.
Ni daktari tu MD nijuavyo mie, sio specialistHivi ni specialist wa nini?