Jamani, Dr. Ulimboka yuko wapi siku hizi?

Wana jamvi Naomba kuuliza alipo Dr ULIMBOKA. Mara ya mwisho nilimsikia alivorudi toka matibabu. Tukasubiri press conference lakini hadi leo sijasikia allishia wapi.
Mtu yeyote mwenye kujua huyu bwana yuko wapi na anafanya nini sasa hivi anisaidie.
Labda wengine mtaniuliza kwa nini nauliza au ananihusu nini. Kiukweli nimemkumbuka tu kama binadam mwenzangu na kwa vile habari zake zilivuma enzi hizo sio vibaya kujua anaendeleaje huko alipo.
Mwache baba wa watu apumzike

Aliyoyapata Mungu ndo ajuaye
 
Wana jamvi Naomba kuuliza alipo Dr ULIMBOKA. Mara ya mwisho nilimsikia alivorudi toka matibabu. Tukasubiri press conference lakini hadi leo sijasikia allishia wapi.
Mtu yeyote mwenye kujua huyu bwana yuko wapi na anafanya nini sasa hivi anisaidie.
Labda wengine mtaniuliza kwa nini nauliza au ananihusu nini. Kiukweli nimemkumbuka tu kama binadam mwenzangu na kwa vile habari zake zilivuma enzi hizo sio vibaya kujua anaendeleaje huko alipo.
Kitaani wanadai kuwa keshapigwa 'kufuli' yuko Uingereza anakula maisha na familia yake. Sijui kama ni kweli au laa
 
Back
Top Bottom