Jamani, Dr. Ulimboka yuko wapi siku hizi?

maana kwa hali ilivyo inaonekana kbsa serikali ya wakati huo iliratibu huu utekaji wa Ulimboka
Halafu madaktari wote wakanywea. Hakuna watu waoga Tanzania kama madktari na waalimu. Wamesoma ila hawaelimika. Hawajui hata haki zao.

Wakati wa kipindi cha Corona kuna waalimu walikuwa wanaenda kuripoti kazini kila siku, wanasaini wanaondoka wakati shule zimefunga.

Huu ni utumwa mbaya sana.
 
Watu wanamuona kwenye fukwe za DSM akifanya mazoezi ila mimi sijawahi muona
Daaa..... Aisee.... Nakumbuka mwanahalisi waliweka ushahidi mwingi sana wa majina ya watu namba za magari na namba za simu lkn hakuna aliyekamatwa hata mmoja..... 🤔🤔

Kweli maendeleo yana chama lkn udikteta hauna chama!
 
Halafu madaktari wote wakanywea. Hakuna watu waoga Tanzania kama madktari na waalimu. Wamesoma ila hawaelimika. Hawajui hata haki zao.

Wakati wa kipindi cha Corona kuna waalimu walikuwa wanaenda kuripoti kazini kila siku, wanasaini wanaondoka wakati shule zimefunga.

Huu ni utumwa mbaya sana.
Naomba nitajie watu,kada isiyo na waoga. Ugavi,? Wahasibu? Polisi ? Afisa misitu,? Watendaji? Mabwana shamba? WakulimaKumbu kumbu yangu inaniambia kada ya daktari na walimu na wafanyabiashara,madereva ndio wamewahi kugoma Tanzania kama kuna kada nyingine itaje hapa.
 
Halafu madaktari wote wakanywea. Hakuna watu waoga Tanzania kama madktari na waalimu. Wamesoma ila hawaelimika. Hawajui hata haki zao.

Wakati wa kipindi cha Corona kuna waalimu walikuwa wanaenda kuripoti kazini kila siku, wanasaini wanaondoka wakati shule zimefunga.

Huu ni utumwa mbaya sana.
Kada ipi ambao sio waoga?
 
Waliowahi kugoma ni WALIMU, MADAKTARI NA MADEREVA WA DALADALA SIO WA SERIKALI. Hakuna kada nyingine nje ya hizo
 
Back
Top Bottom