habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Bando linaisha nifanyie mpango BasiNjoo pm, nikufanyie interview upya.[emoji23]
Bando linaisha nifanyie mpango BasiNjoo pm, nikufanyie interview upya.[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha utani mkuu. Hio kitu kama ipo kweli inatisha sana. Isikie tu kwa watu.Akisikia mnamsema sema Leo halali ndani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alijifanya kuweka siri ona sasa yaliyowakuta wenziwe.
Andika namba nikupigie.Bando linaisha nifanyie mpango Basi
0799997070Andika namba nikupigie.
Alichaniwa marinda, ahahah .[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha utani mkuu. Hio kitu kama ipo kweli inatisha sana. Isikie tu kwa watu.
marinda si mchezo.watu wakimsikia watakuwa wana mtania si tena kama zamani wakiona mkomboziWana jamvi,
Naomba kuuliza alipo Dr. Ulimboka. Mara ya mwisho nilimsikia alivorudi toka matibabu. Tukasubiri press conference lakini hadi leo sijasikia allishia wapi.
Mtu yeyote mwenye kujua huyu bwana yuko wapi na anafanya nini sasa hivi anisaidie.
Labda wengine mtaniuliza kwanini nauliza au ananihusu nini.
Kiukweli nimemkumbuka tu kama binadam mwenzangu na kwa vile habari zake zilivuma enzi hizo sio vibaya kujua anaendeleaje huko alipo.
Hii namba ya Somalia.0799997070
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah bro Huna hata huruma kama Israel mtoa roho. Hata kama jamaa alikosea but kushangilia kipigo kile yataka moyo sana. Mi kuua mdudu najisikia vibaya itakua binadam.Uyo mjinga kwa kipigo kile...sidhani kama atakufa tena.
Ila ilisaidia sana walivomkomesha mana mgomo uliisha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii namba ya Somalia.
Hahahaha na roma mlimpeleka wapiKwanini mkuu, alijifanya kutusumbua tukamtia adabu..!
Hivi huwa hamustukii upole wa John Mnyika ulianzia wapi??
Hapana mkuu sijafurahia. Ila nimesema kwa kipigo kile halafu akanusurika...sidhani kama atakufa tena.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah bro Huna hata huruma kama Israel mtoa roho. Hata kama jamaa alikosea but kushangilia kipigo kile yataka moyo sana. Mi kuua mdudu najisikia vibaya itakua binadam.
Hata kama yeye aliua kwa mgomo wao ni vizuri kusamehe ili ijulikane nani mjinga.
Haha alikua hana kiwanjaAlipewa kiwanja na serikali kule Mabwe Pande ndio amejenga
Haha alikua hana kiwanja
Hahaha mjinga aliumuka kwa kipigo kileHata alipopotea walikuwa wameenda kumwonyesha kiwanja chake kama wale watu wa mafuriko
![]()
Hahaha mjinga aliumuka kwa kipigo kile
ana afya njema lakin ndo kibogoyo tenaYupo, mwenye afya njema, akiendelea na shughuli zake
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akiwaona tu hao jamaa atapiz Mara naneAnatakiwa atekwe tena..! [emoji23] [emoji23] [emoji23]