GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,768
Kwani hamjui Kuwa mtakufa? Au hamuoni umuhimu kwa kuwa yenu
yameisha?
Unakuta Mtu anafariki bila kuacha wosia wowote hili ni tatizo kinachokera
zaidi kabla mgao haujaanza hapo ndo huibuka watoto wa marehemu ambao
inasemekana kazaa nje ya ndoa na wengine sijui alikosea wakati yuko shule
ya msingi........ hivi na vile... basi tu....
Nafikiri kulikuwa na umuhimu ili kupunguza migogoro watu tukaandika wosia
ambao kama utabahatika kumaliza mwaka una UPDATE..... kama una watoto
wa nje ni bora ukawaandalia mazingira mapema ili wasjekusumbua kwenye
Mirathi.
Unachotakiwa kufanya ni kujenga taswira kuwa umeshakufa na Mungu amekupa
nafasi ya kusimamia mgao wa mali zako.
Hapo unaanza...... (Mfano)
1. Hii nyumba ya Kongowe isiuzwe wapewe yatima (Hiyo inaweza kuwa sadaka au toba
Kwa Sababu inawezekana uliipata nyumba hiyo kwa njia ya dhuluma mfano
Kukaba, kubambikia watu kesi n.k) Kama una imani ya dini basi unaamua kupunguza
Mzigo.
2.........................................................................................................
Ingekuwa vema pia serikali ikasimamia utaratibu wa watu kuandika wosia wanapofikisha
miaka fulani, hii ingesaidia sana kupunguza migogoro.