Jamani andikeni wosia mapema!

Jamani andikeni wosia mapema!

Sasa Mwanasheria au Bank watajuaje kama nimekufa??
wana njia zao wanajua wenyewe ni kama mama anavomjua mwanae kapotelea wapi, maana mirathi haianzi bila kibali cha mahakama, na kibali cha mahakama kina involve process za wanasheria. But nachojua wanasheria wana njia zao wenyewe watajua tuuuuu.
 
Nilishaandika kitambo na kuwaambia nishawaambia, nikifa nusu ya mali waiuze pesa iwekwe benk kwa ajili ya Paka wangu ale chakula kizuri na matibabu (kwa kupata minyoo tu hakajambo) mpk siku na yeye akifa au pesa zikiisha.


Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Ulinyimwa kizaz nn mkuu?

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Angalia huyo uliyemuandika kuwa ndiye mrithi anaweza kukudedisha mapema ili amiliki Mali. Akili za binadamu fyatu sana kwenye Mali.
 
Wako umeandika au unataka
Kwanza kujua wa kwetu

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Naandika kitabu,kitatoka soon kuhusu mambo hayo.Nitawajuza kikiwa tayari.Wosia ni muhimu sana.Kuna Nyumba mjini zimebaki na wapangaji,kisa mwenye Nyumba alimficha mke na watoto,sasa kafa ghafla.
 
Angalia huyo uliyemuandika kuwa ndiye mrithi anaweza kukudedisha mapema ili amiliki Mali. Akili za binadamu fyatu sana kwenye Mali.
io ni siri mkuu, wanaojua ni wewe na mwanasheria wako. mara nyingi iko ivo na ndivo inavotakiwa japo sio mara zote huwa inakua ivo
 
Kwa kawaida anapewa mwanasheria na wahusika wanaambiwa ila content hawaambiwi. Ila kama mtu hana mwanasheria basi umpa mtu maalum kwa kazi hiyo.

Then huyo mwanasheria atajuaje nimekufa?
 
Hata mtt wa miaka 7 anamuuwa huyo paka! anabeba fedha sabuni ya roho
Hawawezi kama kweli wananipenda maana hiyo itabaki ni kumbukumbu yangu kwao.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Hivi mwanasheria hawezi kujipigia pande baadhi ya mali ambazo familia hawazifahamu??????
 
Back
Top Bottom