Jamani andikeni wosia mapema!

Jamani andikeni wosia mapema!

Wewe ni wakili wa kujitegemea nini mkuu. Naona kama unabembeleza biashara huku tena una lobby kwa serkali...
 
lazma will iwe na Proof ya mwanasheria, na mwanasheria anakua na copy, so ukifa ye ndo anakuja na ushahidi maana ni kazi yake kusimamia ulicho kiandika kitekelezeke. so will haifichwi bali hukaa kwa mwanasheria.
Mwanasheria akifa kabla yako?
 
Then huyo mwanasheria atajuaje nimekufa?

Madam si nimesema wataambiwa kuwa akifa wakasomewe wosia kwa mwanasheria fulani na yeye anapewa taarifa za wahusika. Ili kufahamu kama mtu amekufa, inabidi kuonesha cheti cha kifo = death certificate. Au sijaelewa unacho maanisha?
 
Je mkifa siku moja na mwanasheria wako inakuwaje... mfano mmepata ajali,,, maaana wengine tunazurula na wanasheria wetu safarini....

Nafikiri kila mwanasheria ana ofisi, na kuna kuwa na vielelezo kama mikataba na receipts.
 
Kwa kawaida anapewa mwanasheria na wahusika wanaambiwa ila content hawaambiwi. Ila kama mtu hana mwanasheria basi umpa mtu maalum kwa kazi hiyo.

Kweli kabisa , swala hili linasaidia mfano halisi ni marehemu baba yangu aliandika wosia ambao tulisomewa baada ya siku kadhaa za maombolezo, hii ilisadia (tukiwa watoti wadogo)kutodhulumiwa mali na baadhi ya ndugu pia upendeleo katika mahari kani marehemu alushapanga mapema na kueeka kwa mtoto wa baba mkubwa ambaye umri wake ni mkubwa na mwenye busaraa
 
Lol, kuna kiumbe asiyekua na kizazi bro.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
aiseee!! Nliflir imetokea kwako
Maana huo wosia hata shetan
Lazma askitike

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Madam si nimesema wataambiwa kuwa akifa wakasomewe wosia kwa mwanasheria fulani na yeye anapewa taarifa za wahusika. Ili kufahamu kama mtu amekufa, inabidi kuonesha cheti cha kifo = death certificate. Au sijaelewa unacho maanisha?

Hapo nimeelewa
 
Nilishaandika kitambo na kuwaambia nishawaambia, nikifa nusu ya mali waiuze pesa iwekwe benk kwa ajili ya Paka wangu ale chakula kizuri na matibabu (kwa kupata minyoo tu hakajambo) mpk siku na yeye akifa au pesa zikiisha.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
sasa kama huyo pussy yako aki tangulia kabla yako inakuwaje?
 
Nilishaandika kitambo na kuwaambia nishawaambia, nikifa nusu ya mali waiuze pesa iwekwe benk kwa ajili ya Paka wangu ale chakula kizuri na matibabu (kwa kupata minyoo tu hakajambo) mpk siku na yeye akifa au pesa zikiisha.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
watu mmevurugwa
 
Pia mila zetu za Kiafrica kwa kiasi kikubwa hazija 'entertain' mambo ya wosia kwa dhana ya kwamba kujitabiria kifo ni kama 'uchuro' lkn ukweli kufa ni wajibu nafikiri inabidi tubadilike na ni kweli usumbufu unapungua kama umeacha wosia
 
aiseee!! Nliflir imetokea kwako
Maana huo wosia hata shetan
Lazma askitike

[Color= yellow]Triple A[/color]
Ni mimi ndio niliandika wosia kwani kuna dhambi kuandika kiumbe ukipendacho kifaidi maisha hata baada ya wewe kuondoka???
nampenda sana Pussy-Cat wangu sipendi apate tabu kabisa.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom