Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,495
- 21,444
Akitangulia basi nabadilisha wosia.sasa kama huyo pussy yako aki tangulia kabla yako inakuwaje?
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Akitangulia basi nabadilisha wosia.sasa kama huyo pussy yako aki tangulia kabla yako inakuwaje?
hahahahhahahahaha si kidogo yaaaaani, lol![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
watu mmevurugwa
naomba kwenye wosia uniweke kama mtunzaji wa Pussy wako, ntahakikisha anakuwa salamaAkitangulia basi nabadilisha wosia.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Unaweza kuuhifadhi kwa mwanasheria wako au benki yako na juu ya bahasha huandikwa
"TO BE OPENED ON THE EVENT OF MY DEATH"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisheria unatakiwa uwe na copy tatu unatoa sehemu tofauti lazima kuna mmoja atasikia na kujaJe mkifa siku moja na mwanasheria wako inakuwaje... mfano mmepata ajali,,, maaana wengine tunazurula na wanasheria wetu safarini....
RITA pia wanahifadhi wosia. Unalipia lakini ila sio hela nyingiUnaweza kuuhifadhi kwa mwanasheria wako au benki yako na juu ya bahasha huandikwa
"TO BE OPENED ON THE EVENT OF MY DEATH"
Sent using Jamii Forums mobile app
"Acha undezi" hili neno umeliongeza ili iweje mkuu?Wosia unandikwa kwa mwanasheria acha undezi
Lol, my Pussy-Cat atakurarua hapendi kusogelewa na mtu asiyemjuanaomba kwenye wosia uniweke kama mtunzaji wa Pussy wako, ntahakikisha anakuwa salama
lini (siku ipi) maana kuna kukutwa na mauti ya ghafula kama ajali. unapitea ndani ya sekunde tano tu.shda sasa
mimi wosia ntautoa kwa mdomo tuu inatosha
Unapeleka wosia mahakamanHivi ukiandika wosia si unauficha watu wasiuone??
Ukifa watajuaje ulipo?
Nadhani kopy moja kwa mwanasheria wako, Bank& na kwa mwanafamilia unayemuaminii..hapo ni ngumu mwanasheria ku temper...lkn kwa binadamu chochote kinawezekana mkuu.Hivi mwanasheria hawezi ku temper na huo wosia?
ahahaha...noma mkuuNdio mkuu, sasa kama nilikuwa namiliki nyumba na imeuzwa na benki kwanini nisichane
wosia, labda niandike tu wosia wa kisiasa "Wanangu naomba musiitupe CCM, CUF, C.... n.k"
sitakubali initokee hiyolini (siku ipi) maana kuna kukutwa na mauti ya ghafula kama ajali. unapitea ndani ya sekunde tano tu.
Endapo una mwanasheria wako au wa familia, anakuwa ni mtu wa karibu sana na familia yako. Moja ya shughuli yake ni kufuatilia kwa karibu masuala ya familia husika. Hivyo kujua umefariki si kitu cha ajabu. Chukulia mfano wa " family doctor "Inategemea
Then huyo mwanasheria atajuaje nimekufa?
Asante sana kwa updatesRITA pia wanahifadhi wosia. Unalipia lakini ila sio hela nyingi