Jamani ananisingizia, mimi siku………………….!!

Yaani sijapata ufumbuzi wa kero langu. Labda sababu ya hulka yangu sipendi kusingiziwa. Najiamini mimi ni PREDATOR NA SIO SCAVENGER. Huwezi fananisha SIMBA na Fisi. Mimi ni mwindaji kwa strategies na sio mla mizoga.
 
Cantalisia, Time and again nimemwambia lakini kwa ajili ya kuficha siri yake ananisingizia bureeeeee!
 
Cantalisia, Time and again nimemwambia lakini kwa ajili ya kuficha siri yake ananisingizia bureeeeee!

shida ya post yako ni kuwa kuna anko aliyefiwa na mkewe...

Na wewe ukiwa college ulikuwa unaishi na anko(mjane) O'bay..

Halafu Anko anaonekana ana mawazo ya kumpoteza mkewe...

Halafu Roda anasingizia kulala na Mike kwa ajili ya kumliwaza kwa kufiwa..
Na akasema angerudia(wakati anaongea na Pili)

halafu Mike anachukia kwa kusingiziwa kala mzigo...

So Mike na mfiwa(anko) ni the same person..

Sema umemtamani rafiki wa binti yako,vinginevyo hii ni stori ya kweli,lakini kwa sababu inakuhusu directly,ndiyo maana inakuchanya jinsi ya kuiweka sawa..
 
Doctorz, ungekua huna hisia na huyo dada this wouldn't be a problem. Nadhani ulikua interested, hasa ulipo msikia akisema she was woth you. Sasa let it go, you have missed that opportunity already.
 
hehehe doctorz take it easy bana,
kama sio ukweli amekusingizia tu unaumia kidogo then unampotezea ss hayo maumivu yako mbona kama makubwa au kama anavyosema RR ulikuwa na vijiinterest vyako?? msamehe buree na umpotezee.
 
kamata kula mzigo halafu dizaini anakukubali kiaina we ujui tu ndio zali hilo zamu kwa zamu ndio mpango..
 
Kwani wewe ukisingiziwa na uncle wako akapata faraja unaona dili sana? Umekula ugali wa shkamoo hapo, na bado unataka kugombea viandazi na mzee wa watu hata kutongoza hajui tena!
Well, sometimes I feel like a man manake wanaume wanabehave strangely! Ulitaka mgeni amuambie rafiki yake 'nililala kwa babako'?! Be the man bana!
Cantalisia, Time and again nimemwambia lakini kwa ajili ya kuficha siri yake ananisingizia bureeeeee!
 
Yaani sijapata ufumbuzi wa kero langu. Labda sababu ya hulka yangu sipendi kusingiziwa. Najiamini mimi ni PREDATOR NA SIO SCAVENGER. Huwezi fananisha SIMBA na Fisi. Mimi ni mwindaji kwa strategies na sio mla mizoga.

Now,put your act together and attack like a predator that u r :lol:
 
shida ya post yako ni kuwa kuna anko aliyefiwa na mkewe...

Na wewe ukiwa college ulikuwa unaishi na anko(mjane) O'bay..

Halafu Anko anaonekana ana mawazo ya kumpoteza mkewe...

Halafu Roda anasingizia kulala na Mike kwa ajili ya kumliwaza kwa kufiwa..
Na akasema angerudia(wakati anaongea na Pili)

halafu Mike anachukia kwa kusingiziwa kala mzigo...

So Mike na mfiwa(anko) ni the same person..

Sema umemtamani rafiki wa binti yako,vinginevyo hii ni stori ya kweli,lakini kwa sababu inakuhusu directly,ndiyo maana inakuchanya jinsi ya kuiweka sawa..
kwan we hayo maelezo mengn umeyatoa wap?
 
he he he, wewe popobawa,
ntauvuta huo mkia niung'oe
kwani nimekufanyaje jamani!?

Mie namfundisha mike kula bila kutaja jina
na bila mjomba kujua
wala binamu yake asijue

mwanzodoa

Weeee! usiukate huu mkia ndio unaoniweka mjini. ndio mjomba anaoutumia kwa roda. kwa hiyo ww unamshauri amhujumu mjomba!!
POPOBAWA.
 
Back
Top Bottom