Shantel
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 2,018
- 1,132
Sasa tufanyeje maana kusaidiana nako muhimu wajameni, mie nafahamiana a watu humu japo ni wachache sanaBora hata ugonjwa,alishawahi kufariki mdau,nadhani alikuwa anafanya kazi TCAA au airport,humu jamvini tulikuja jua baadae sana tena kwa bahati tu.Kweli ndugu yangu kufahamiana si vibaya,ila ndo hivo tena ladha ya uchangiaji itapungua maana mtaoneana aibu hata kama mtu anachangia fyongo.