labda kama kabadili jina kiukweli hajaonekana kitambo sanahuyu mtu yupo na anachangia sana tu mbona....au....!!!
labda kama kabadili jina kiukweli hajaonekana kitambo sanahuyu mtu yupo na anachangia sana tu mbona....au....!!!
labda kama kabadili jina kiukweli hajaonekana kitambo sana
mhh nimesoma nukta mpaka mikato yote sijamuona,mwambie aanzishe thread japo agune tu tumuone kweli wengi twamlilia jamaniHebu fuatilia hii thread uone kama hajaposti jana tu
:https://www.jamiiforums.com/mahusia...157-nimepata-sababu-ya-kutoacha-pombe-20.html
Hebu fuatilia hii thread uone kama hajaposti jana tu
:https://www.jamiiforums.com/mahusia...157-nimepata-sababu-ya-kutoacha-pombe-20.html
ahsante! unajua itakuwa kama wewe Aspirin pale utapopotea, watu watakulilia!!. ha ha ha ha ha na kukumbuka "Hodi" ya chooni haiitikiwi "karibu"
hahahahaa mhh hatimae nimemuona....unastahiki zawadi babu....We sikuwezi kwa ubishi.... Mtu wa pili kutoka mwisho aliochangia alikuwa nani kwenye hiyo sredi?
hahahahaa mhh hatimae nimemuona....unastahiki zawadi babu....
hahahahahahahhhaah babu zawadi gani hiyo unayotaka kama unamafua haiumizi,kabla sijatoa rukhsa niijue kwanzaNipitie mwananyamala leo unigee zawadi yangu? Leo nna mafua sitakuumiza sana.
hahahahaa mhh hatimae nimemuona....unastahiki zawadi babu....
hahahahahahahhhaah babu zawadi gani hiyo unayotaka kama unamafua haiumizi,kabla sijatoa rukhsa niijue kwanza
hapo mneniacha hoi maana wachangiaji toka chini ni hawa katika hiy sredi:
wa mwisho: CPU
wa pili toka mwisho GAGA
wa tatu toka chini: MTM
wa nne toka chini: Afrodensi
wa tano toka chini: Nico1
anyway inawezekana natakiwa kusoma between the lines.
hazina masharti usijali nna dawa ya mafua babu kasingiziwa,hayatorudi mpaka baada ya miaka 250Umeanza woga? Zawadi zina masharti tena?