Jamani ACID nakulilia Rudi.. ulikimbilia wapi

kanyagio

JF-Expert Member
Dec 10, 2009
1,021
365
jamani humu ndani kuna mtu alikuwa anaitwa ACID sijui alipotelea wapi. Popote ulipo unaombwa urudi michango yako tunaimiss!! we miss your CRITICAL thinking!!
Zawadi itatolewa kwa yeyote atakayeweza kum-convince arudi!!.
je wewe unam-miss nani unatamani arudi jamvini?
 
kweli mwenye macho haambiwi tazama......una uhakika kabisa huwa humuoni ACID?.....mi sikuamini
 
Acid yupo kajaa tele..Naona wewe ndiye ulipotea na hivyo umekuwa:A S-confused1: na una lako jambo la hasha!!!
 
Hapa ndipo ninapoona umuhimu wa kuwa na JF friend who physically knw each other....sasa kama mtu mgonjwa kalazwa, au bahati mbaya...whtver...inakuwa ngumu kwa hili jamvi kujua wht hell goin on!!waona kimya tu,mtu haonekani,kumbe...keshasafiri ughaibuni zamaniii..ni mawazo tu!!
 
Kwa kweli acid hata mimi simuoni kabisaa! Tafadhali acid rudi, hata kama umebadili id hata mawazo pia mkuu!
 
Hapa ndipo ninapoona umuhimu wa kuwa na JF friend who physically knw each other....sasa kama mtu mgonjwa kalazwa, au bahati mbaya...whtver...inakuwa ngumu kwa hili jamvi kujua wht hell goin on!!waona kimya tu,mtu haonekani,kumbe...keshasafiri ughaibuni zamaniii..ni mawazo tu!!
Well said mkuu. Ila pia hata kama hatujuani si vibaya kama mwana Jf akijua kuwa hatakuwepo kwa kipindi fulani aage, vinginevyo kama amepata dharura kubwa. Kuna ambao huwa wanaaga kabisa.
 
Hapa ndipo ninapoona umuhimu wa kuwa na JF friend who physically knw each other....sasa kama mtu mgonjwa kalazwa, au bahati mbaya...whtver...inakuwa ngumu kwa hili jamvi kujua wht hell goin on!!waona kimya tu,mtu haonekani,kumbe...keshasafiri ughaibuni zamaniii..ni mawazo tu!!

hapo nilipobold kuna faida nyingi zaidi......na nina uhakika wa hilo....na hutajutia
 
jamani humu ndani kuna mtu alikuwa anaitwa ACID sijui alipotelea wapi. Popote ulipo unaombwa urudi michango yako tunaimiss!! we miss your CRITICAL thinking!!
Zawadi itatolewa kwa yeyote atakayeweza kum-convince arudi!!.
je wewe unam-miss nani unatamani arudi jamvini?

kweli mwenye macho haambiwi tazama......una uhakika kabisa huwa humuoni ACID?.....mi sikuamini

Na hili ndilo la kujiuliza hapa. Ni jana tu ejimeti wangu huyu alikuwa hapa anarusha maposts ya kufa mtu, leo haonekani mnamfungulie sredi?
Mwacheni ejimeti wangu apumzike wikiendi bana, ale kuku kwa mrija na bia kwa kikombe.

Otherwise, mgejua.. ACID si mshabiki mzuri wa FM Academia!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom