Boflo
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 4,383
- 4,413
jaman NYUMA raha!! asikwambie mtu ..... NYUMA rahaaaa.... wachanipasifie, nisipo pasifia atapasifia nani tena mwenye kuujua vizuri utamu wa NYUMA!!... hebu kumbuka hapo NYUMA... soda ilikuwa tsh 250, sukari robo 150 mafuta ya kula robo 100, mafuta ya taa robo 100, sabuni ya kipande 30, unga robo 150.... da! maisha gani tena yatakuja kua kama yalivyokua enzi za NYUMA....