jaman! kumbe upweke mbaya hivi! loh!

jaman! kumbe upweke mbaya hivi! loh!

Ladymasa nataka nimuajiri awe ananilinda..! ahe is smart..

Oya! Excel naona heshima yapungua yaani wewe uwe ndani na mkeo miss neddy halafu unajua kuwa mimi ni mama yake mdogo?
halafu eti mimi niwe nje nan'gatwa na mmbu sikubali weeeee! usirudie tena!
 
Last edited by a moderator:
aah! sasa hilo swali linauhusiano gani na mchumba jamani! Ladymasa ni mbeba bunduki! si atanilipua muda wowote nikizingua? hhahaaa!! that girl is amazing!

Hivi huyo mkeo miss neddy hajakwambia mimi ni nani wake? maana naona utani unazidi!
 
Last edited by a moderator:
Oya! Excel naona heshima yapungua yaani wewe uwe ndani na mkeo miss neddy halafu unajua kuwa mimi ni mama yake mdogo?
halafu eti mimi niwe nje nan'gatwa na mmbu sikubali weeeee! usirudie tena!

hahahahahahaha mamii ndo wakwe mwenyewe wa kidigitali hawa
 
Last edited by a moderator:
huu upweke mamito sio wa kwako pekee yako
nami natafuta wa kuniondolea upweke
huko wapi Excel njoo huku uondoe upweke hapa
 
Last edited by a moderator:
huu upweke mamito sio wa kwako pekee yako
nami natafuta wa kuniondolea upweke
huko wapi Excel njoo huku uondoe upweke hapa

i hate love.... and everybody should know that..

the pain i have now, it will take time to be cured...

while others are laughing, iam tearing pain...
 
Back
Top Bottom