Kweli?? Mzima weye?
best, hata mm nshazoea, lakini kuna wakati mwingine weee!
hahahahaaaaa!!! kule kwingine nakuzungushia kiunoni! hahahaaaaa!!!!
chezea mutu ya musoma wewe!!
...yes darling!!!
ahaaaaa!!! kuuuuuuumbe!
thanks mwanya woman!!!!
...hahahaaa... Swithrt.. Wataka kumpipa urefu wote
hebu usimsumbue malikia bana! kajipumzikia kwenye twelve pack! lol!
we unadhani unavyomkurupusha KOKUTONA usiku wa manane na mm ntafanya hivyo eenh!
kaka, we acha tu, hawapatikani.
Niko poa sana! wewe je?
Alafu weweee