jaman! kumbe upweke mbaya hivi! loh!

jaman! kumbe upweke mbaya hivi! loh!

Nitakudundaas

kivipi?....?

mimi ni
TanzaniaLodgeSafariItinerary1LodgeAndHotelSafarisAfrica-64861247504022_800_600.jpg
huwezi nifanya lolote!! hahaaaa!!
 
We Excel... Ngoja nimalize chai yangu, i'll come back for you...
naona my KOKUTONA unamtesa Tu.. Leave her alone, tunapeana kwa nafasi, kwa raha zetu, au wataka kutupigia filimbi wakati wa mtanange nini!!! teh.
 
Last edited by a moderator:

whaaaaat? mnapeana kwa nafasi? sasa hapo kwenye gepu hapo..! qudadeki..! nanyamaza kwanza!
KOKUTONA pole lakini kwa maumivu.. hahaaa!! kariakoo sio kama kkwenu eenh! lol!
 
Last edited by a moderator:
Naye unamtaka?
Neddy girl hakutoshi?

aah! sasa hilo swali linauhusiano gani na mchumba jamani! Ladymasa ni mbeba bunduki! si atanilipua muda wowote nikizingua? hhahaaa!! that girl is amazing!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
whaaaaat? mnapeana kwa nafasi? sasa hapo kwenye gepu hapo..! qudadeki..! nanyamaza kwanza!
KOKUTONA pole lakini kwa maumivu.. hahaaa!! kariakoo sio kama kkwenu eenh! lol!

hivi we vipi, hata kiswahili kinakushinda!!! Matatizo ya kukulua visiwa vya ukewere haya. Taaabu tupu!!
 
Last edited by a moderator:
hivi we vipi, hata kiswahili kinakushinda!!! Matatizo ya kukulua visiwa vya ukewere haya. Taaabu tupu!!

unathemaje? ....? eli naona sasa... we ngoja sasa! nakuitia Ladymasa akutungue .. namwaminia sana sniper wangu!
 
Last edited by a moderator:
love, huyu anaitwa king mswati-the-second!!!. Karucee ndo kampa hiyo title, wanasema birds of the same feathers......

Hahaha...suitable name kwake. Maaaana anamzidi hata huyo the first.
 
Last edited by a moderator:
We Excel... Ngoja nimalize chai yangu, i'll come back for you...
naona my KOKUTONA unamtesa Tu.. Leave her alone, tunapeana kwa nafasi, kwa raha zetu, au wataka kutupigia filimbi wakati wa mtanange nini!!! teh.

Mweleze aelewe..maana naona anakuwa mgumu kuelewa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom