jaman! kumbe upweke mbaya hivi! loh!

jaman! kumbe upweke mbaya hivi! loh!

asante mkuu Excel nimetoka kanisani, na upweke wooote kwishney! kwahiyo mjadala uishie hapa. ila asanten kwa michango na swagga zenu wakuu!
 
we nawe...mbona uko hivyo lakini..kwani mtoto akisema yupo lonely unaelewaje?

naelewa kwamba anahitaji kutulizwa, apewe pumziko la moyo, hataki michepuko, baridi za hapa na pale zimemzidia, pia, ana maana kwamba, kitendo tu cha kusema yuko lonely, ana maana uwe sehemu ya kuuondoa huo upweke..

cc.. Heaven on Earth..!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom