ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,573
- 130,906
naiexperience sana tu...hata hapa am so lonely
ati nini? Mbona siamini!!!! Uko pande zipi jamani Heaven on Earth!!!
Last edited by a moderator:
naiexperience sana tu...hata hapa am so lonely
hahahaaaa!!! yani unawaza hayo tu? yule ni mwanajeshi bana...! huoni ana bunduki kila wakati?
sniper at work..
ninawaza yapi mkuu...
kiswahili chako kinanipa mashaka..!!! Kweli wewe msukuma (no offense kwa wasukuma wengine, Ni huyu bazazi tu)
ati nini? Mbona siamini!!!! Uko pande zipi jamani Heaven on Earth!!!
bazazi utamjua tu...! KOKUTONA hakutoshi wewe? aaargh!
KOKUTONA ndo kila kitu kwangu, yaani siambiwi wala sisikii...
Heaven on Earth kanipa changamoto tu, najisikia vibaya mtu akisema yupo lonely...teeeeh!!
ati nini? Mbona siamini!!!! Uko pande zipi jamani Heaven on Earth!!!
KOKUTONA ndo kila kitu kwangu, yaani siambiwi wala sisikii...
Heaven on Earth kanipa changamoto tu, najisikia vibaya mtu akisema yupo lonely...teeeeh!!
hahahaaaa!! ila huyu Heaven on Earth nae mbona anasumbuka hivi jamani? msaidieni, mpeni tulizo la moyo, apate sehemu ya kutolea stress na mihemko.. hahaaa!! msinipige mawe jamani!
hata wewe eli unaweza ukachukua fursa..
Excel unanitaka!!!!!!!!hahahaaaa!! ila huyu Heaven on Earth nae mbona anasumbuka hivi jamani? msaidieni, mpeni tulizo la moyo, apate sehemu ya kutolea stress na mihemko.. hahaaa!! msinipige mawe jamani!
hata wewe eli unaweza ukachukua fursa..
..ha ha.. KOKUTONA hamaindi vile ananiamini, ila weka wazi tujue utasaidiwaje, upo alone and lonely ama lonely and occupied?
Kama vingunguti kule kwa mnyamani ama machinjioni sio mbali sana na kwetu...naeza pitia mida ya jioni!!!
..nope, i don't like to imagine.. Napenda ku witness, loneliness lakini occupied, i could detach you from that miserable life, lol..Lonely and occupied.................Can U imagine hapo............
Huko huko karibu na machinjio pale

hahahahaa !!!!!!Lonely and occupied.................Can U imagine hapo............
Huko huko karibu na machinjio pale
Slave mbona kama nimekumiss sana.........hahahahaa !!!!!!
..nope, i don't like to imagine.. Napenda ku witness, loneliness lakini occupied, i could detach you from that miserable life, lol..
whaaaaat? mnapeana kwa nafasi? sasa hapo kwenye gepu hapo..! qudadeki..! nanyamaza kwanza!
KOKUTONA pole lakini kwa maumivu.. hahaaa!! kariakoo sio kama kkwenu eenh! lol!