sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Baada ya mechi ya fainali ya Kombe la Mapinduzi.. zimesikika kelele nyingi za vyura toka bwawa la Jangwani zikifurahia kilichompata Mnyama.
Kelele hizi zilinifanya nirudi katika makablasha yangu.. kuangalia.. mbona wanachonga sana.. kwani tunao lini hawa?
Nilichogundua ni hiki;
1. Kati ya Februari 12, 13 na 14 vyura watacheza mechi ya kwanza ya kombe la CAF kabla ya kurejeana kati ya Februari 26, 27 na 28.
2. Februari 4, Mnyama mkali mwituni pengine kuliko wote Simba SC anaenda kuchukua pointi zake 3 toka kwa vyura katika mechi ya Ligi Kuu.
Nachokiona hawa jamaa wa Jangwani wanaenda kukimbia hii mechi kwa kigezo kua wanajiandaa na mechi za kimataifa.
OMBI LANGU KWA Jamal Malinzi.
Mkuu Jamal Malinzi, Bodi ya ligi inayohusika na upangaji wa ratiba naamini ipo chini yako.. Hebu jaribu kuwashawishi muilete hii mechi hata baada ya wiki moja na nusu kuanzia sasa.. hii itasaidia;
1. Kuepusha "mgongano" wa ratiba naouona.
2. Pointi zetu 3 toka kwa vyura tunazihitaji haraka maana tuna kazi nazo.
Naamini ombi langu utalishughulikia.. Asante Mkuu Jamal Malinzi.