Jamaaniiii eeeeeeeh ulevi nomaaaaaaaaaa

Jamaaniiii eeeeeeeh ulevi nomaaaaaaaaaa

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,660
Reaction score
37,830
LUNCH NJEMA WAPENDWA MSIGUSE HII MAMBO WAKATI WA KAZI
IMG_8003.JPG
 
wamasai ni vichwa panzi .... tena usiombee uwe na sherehe wawepo .... utaaibika
 
Kuna haja kuelimishwa baadhi ya wanainchi kuhusu pombe.
 
kachanganya na ugoro.mmasai akinywa castle milk stout(CMS)moja tu lazima alale.hiyo style aliyo lala inafurahisha,amemshikilia mzee asitoloke.mia
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Wamasai wamekuwa malimbukeni kweli na maisha ya mjini duh! Hapo yupo lindo. Kazi kweli kweli.

<img src="http://4.bp.blogspot.com/-t4Kt-TNSaTg/TmfITnrsBdI/AAAAAAAAX94/-pTH7A0v3ag/s1600/IMG_8003.JPG" border="0" alt="" />
<br />
<br />
 
Huyu ndio yule jamaa tunayemsikiaga kwenye redio alivyolewa akaingia chumba cha mama mukwe??
 
daaaah wajameni giv the guy a break..m2 wa watu alikuwa ana stres 2 za kimaisha..
 
Duuu!
Kadengemua kamekolea!
Mbu natafuna kama ng'ombe!
 
Yeloo hatuendi kupiga gwembee leo,jana noma nimelala nje ya boma ya mamamkwe
 
Back
Top Bottom