PART ASIFIWE MALILA
Member
- Mar 21, 2024
- 31
- 56
Kwenye maisha yetu ya kila siku huwa tunapitia hali ya kutaka kukua lakini inashindikana kwa sababu ya mazoea yetu ya kila siku......
Ni rahisi sana kujenga tabia inayokurudisha nyuma lakini ni ngumu sana kujenga tabia njema. Ni rahisi sana kujenga tabia ya ulevi lakini ni ngumu sana kujenga tabia ya uwekaji akiba......
Mathalani kwa mtu ambaye anahitaji kujenga tabia mpya anaweza kuwa na nia njema ila akakutana na changamoto ambazo zikamrudisha nyuma.....
Zipo changamoto nyingi sana ila uvivu, hofu ya kufeli, mazoea, kukosa muda na kukata tamaa ni moja ya changamoto zinazoua sana uwezo wa mtu.....
Ushauri wangu kwako ni kwamba ni kheri ukajenga tabia mpya kwa kuanza kidogo kidogo, kuweka lengo na kuwa thabiti.....
Uwe na wakati mwema and be blessed!!!!