Jamaa usiku kucha anajamba ovyo

Mr IQ

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
905
1,059
Jamaa usiku kucha anajamba ovyo kwa kila aina ya sauti. Mara pwii.. ! mara fyuu.. ! mara puu…! mara pyeeh..! Mara tata taa…! Mara buuu…!
Mkewe akamuuliza una nini leo ?
Akajibu nasikiliza MILIO ya makalio yangu !!! maana kuna mingine nataka kuifuta.:)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom