Juandeglo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 1,025
- 2,728
Sijakuelewa. Kwahiyo ka mtu ana watoto watatu kwa mama tofauti awatambulishe " mtoto wangu flani na mama ake wasimame" ...Naona wengi wanatoa povu.
Lakini swali la kujiuliza huyo mwanaume alikuwa hajawahi kuwa na mahusiano? Kama jibu ni hapana, je angekuwa na watoto akawatambulisha wao na wazazi wao, ingekuwaje?
Mi nadhani cha muhimu ni hisia za mtu na upendo wa dhati. Mambo mengine ni drama tu!
Aah weee patachimbika. Hiyo sio heshima hata kidogo. Tena ni undezi uliopitiliza