Jamaa kaingia kwenye mtego kizembe sana

Jamaa kaingia kwenye mtego kizembe sana

Kuna jamaa yangu hapa anajipanga kupangua hoja zinazomkabili, ilikuwaje? Mpe ushauri

Jamaa ana umri wa miaka 39,mwaka jana akiwa kwenye maeneo yake ya kazi kuna binti alikuwa anapita pita hayo maeneo kama kawaida wanaume akarusha ndoano,binti mdogo miaka 19 akamwambia amcheki kwa namba hiyo ......

Jioni mzee akaanza texts za kumuapproach binti, binti kapiga noooooo ndefu na sababu kuu 3

1,Wewe mbaba kabisa nidate na wewe,umri sawa na baba angu
2,Una familia na mke hata huna aibu
3,Nina mpenzi

Baada ya kutolewa hizo sababu tatu jamaa akakata stimu ya kuendelea kumtongoza binti ambaye ndo kahitimu kidato cha nne mwaka Jana

Baada ya miezi 5 binti akamtext jamaa, jamaa akauliza nani? Binti akajibu kwa kutaja jina, jamaa akahamaki, akauliza vipi? Binti akajibu nilikuwa nakusalimia......., Jamaa akajibu sawa,hakuendelea kumchatisha zaidi maana zile sababu zilimkata makali

Baada ya siku kadhaa binti akampigia simu akiomba msamaha kwa kumkwaza ila anaomba amsaidie elfu 45 kuna shida imemkabili,anaomba sana amuokoe. Jamaa akaona acha ampe, akamuuliza Namba hii na jina gani litakuja" Baada ya dakika 5 muamala ukakamilika binti akashukuru sana

Wiki moja baadae binti akamchatisha jamaa,Sasa wakiwa katikati ya stories jamaa si akadokoa"Nilikuwa nakupenda basi tu ulinikataa" Majibu ya binti"Oooh! Siku ile nilikuwa na stress ndo maana" Jamaa" ko kwa sasa upo tayari? Majibu ya demu "Ni wewe tu! Basi jamaa wakawa wamekubaliana na binti na wakazini kama safari 4 hivi

Bwana eeeh! Binti akamwambia,"Mr tangu tuwe kwenye mahusiano umepita mwezi mmoja ila najisikia ovyoo nahisi kama nina mimba, jamaa akaduwaa. Tunafanyaje sasa binti kakomaa anataka kutoa mimba maana hata wazazi wa binti ni shida sana mtaani

Basi jamaa akamseti Doctor fulani hivi binti akaenda pale, Doctor kwanza akachukua vipimo na maelezo ya awali kuhusu ujauzito akabaini ni zaidi ya miezi 7 na akamshauri azae tu

Jamaa alivyomuuliza mbona mimba siyo yangu "Binti akafoka na kuja juu,",Kama unakataa hii mimba jiandae kitaeleweka mkeo lazima ajue na wanao lazima wajue" na binti kakomaa sawa sawa kama hutoi hii mimba nioe

Katika uchunguzi wa jamaa amebaini kuwa kabinti kalikuwa na kamshikaji miaka 25,kakampiga ujauzito ,kijana kasepa mtaani hajulikani alipo ,ameangushiwa mzigo akwepe vipi?

Ushauri tafadhali

NB:Mliopo kwenye ndoa kuwa makini na mabinti wanaokuja kwa kasi kwako,utavuruga ndoa
In short, huyu mwamba ni wa kumpam pole. Ila uzembe mwingi sana. Siwezi date na binti wa kitaa ambaye muda wowote anakukutana na mama watoto.
 
Hap

Hapo walipima mimba tuu,bado Hiv.

Generaly uzinzi ni utumwa wa hatari sana.Mungu akikupa neema ya kuacha uzinzi usirudie tena huko.

By the way mwili wa mwanadamu siku zote wakisaidiana na shetani una tabia ya kutumikisha watu ukiendekeza.
 
Jamaa alivyomuuliza mbona mimba siyo yangu "Binti akafoka na kuja juu,",Kama unakataa hii mimba jiandae kitaeleweka mkeo lazima ajue na wanao lazima wajue

Jamaa kapigwa mkwara kazama mazima hapa alitakiwa amjibu binti sawa, fanya kama ulivyo amua alafu ale buyu kiume binti lazima angejichanganya.
 
Watu wengine bwana wapole sana mwite aje lodge muwekee madawa ya kulevya kisha mvue nguo zote mrekodi akiwa uchi hakikisha sura inaonekana .kisha kwa namba nyingine mtumie .kisha tafuta namba 5 za baba zake huyo boyfriend mama zake 5.wanaosoma nae 10 kisha mtumie hiyo list kuwa akimsogelea mkeo ajue maku yake iko hadharani.
Natumaini nimekusaidia
 
Huyo binti na wewe mzee mzima wote mna akili zinazofanana,kifupi mmekutana Pipa na mfuniko,

Pambana na hali yako,raha upate wewe halafu uje utuumize vichwa sisi?
 
Nilivyoanza kusoma habari hii nikafika kwenye mstari unaosema baada ya miezi mitano nikajua jamaa ataangushiwa zigo.

Pole sana. Ila, akate mawasiliano na huyo Binti, yaani am-brock kabisaaa! Atafute namba nyingine ya simu.
 
.
Screenshot_20231126_230136_WhatsApp.jpg
 
hv siku hz vijana mna matatizo gani... hii nayo ni kesi !!!
 
Back
Top Bottom