Jamaa kaingia kwenye mtego kizembe sana

Jamaa kaingia kwenye mtego kizembe sana

Mwambie jamaa yako tumekataa kumsaidia hivyo apokee tu mshahara wake wa dhambi.
Ushauri wa bure kwa wanaume walioko katika ndoa kuwa makini sana na mipango ya pemben kamwe usipige kavu. Kuna jamaa kawa kama mjinga anahudumia mtoto hana uhakika kama ni wake, akichelewesha tu mahitaji anatishiwa ataletwa kwa wife wake mambo yawe hadharani.
Hahaaaa jamaa anakuwa black mailed sasa.
 
Mbona siku hizi watu hamtumii condomu jaman...!!!? Ndo kusema Ukimwi umeisha au?

Dah!
Kondomu sio shida sana, tatizo kuna ushahidi wa Meseji zao kua ni Wapenzi... sasa Binti akiruka kuwa hawajatumia Kondom hata kama walitumia Kondom?
 
Binafsi sijaoa lakini nawaogopa sana hawa wanawake na ikitokea nimeteleza siendi hivihivi bila kinga maana najua madem wanamambo mengi unaweza ukapiga kavu kumbe haupo peke yako siku akijishtukia kanasa mimba na hamjui baba huwa anabambikia mtu yoyote, watu wengi wanalea watoto siyo wao kwa michezo hii ya kuwekewa mtego, sasa hata kama bado sijaoa najua nikiuvaa huo mtego utanitesa sana hata baadae nikioa lazima nitakua kwenye ndoa isiyo na amani, je vipi wewe una mke kabisa na unafanya ujinga kama huo?

Nakuita mjinga kwasababu hujiongezi maana hata ile 45k aliyokuomba mwanzo ilikua ni ya kutolea mimba na angefanikiwa kutoa mimba wala asingekutafuta tena kwasababu hakupendi, kakutafuta baada ya mimba kushindikana kutoka na kakupa mzigo umekula kavu ili akubambikie maana ameshajua wewe ni dhaifu na hapo hutoki mzee labda uanze kutumia akili maana sahivi hutumii akili bado
 
Mbona siku hizi watu hamtumii condomu jaman...!!!? Ndo kusema Ukimwi umeisha au?

Dah!
Waziri alitutangazia kuwa ifikalo 2030 UKIMWI itakuwa historia kwenye vitabu.

Naamini sasa umepungua kwani 2030 siyo mbali[emoji28]
 
SO SAD ONE MAN DOWN,Mwanaume wakweli lazima uwe na msimamo kitoto kimemaliza sekondary juzi kikuyumbishe kwa lipi huyo jamaa yako ni zezeta kosa la kwanza alilofanya ni kumpa pesa kwanza binti akiwa na shida ndo akaja kumla baadae ilibidi amfanye kama sexy toy gonga chukua pesa sepa...au angemkula kama mara2 bila kumpa hata sh.mia ni misosi na vinywaji tu ili dem arudi kwenye mstari inaonesha fika kamdharau mwamba.
Finally inatakiwa amchimbe biti la kufa mtu ikibidi amchape na makofi ya nguvu uone kam huyo mtoto ataleta upumbafu tena.
 
Nyie mnao hoji juu ya kutong'amua mimba ya miezi saba tambueni kuwa mabinti wengi mimba huwa hazionekani kabisa,ninauzoefu sanà,kuna binti aliwahi kuzalia shule cha ajabu walimu wote hatukuwahi kutambua,nikiwa jkt kuna binti alipiga kozi yake vizuri tu maafande na na hata makuruta wenzie hakuna liyetambua,siku tunapiga gwaride la kumaliza kozi alipiga vizuri tu na kesho yake akajifungua,kambi nzima ilishangaa kwa ujasiri wa huyo binti,kwanza kukwepa vipimo hapo kambini hadi kuvumilia shuruba za kozi.


Hivyo mabinti wengi mimba huwa hazionekani
So alipata ajira au alifukuzwa JKT?
 
Jamaal hudumia mimba kama kawa!!

Lakini mtoto akizaliwa ataonyesha Kila kitu!

Mimba sio gharama kuhudumia!!

Akiona mtoto sio wake Bas anamwambie tafuta mwenye chapa hiyo!!

Kuoa asioe Hadi kwanza mtoto azaliwe,ndio kiwe kigezo Cha kufanya maamuzi!!

Kuhusu mke kujua!!!watazinguana yataisha na maisha yatasonga!!
 
Mwanaume mwenye mke ushindwe kumjua malaya mwenye mimba ukiwa unamnyandua..??
 
Pole Sana .

Ila katika Maisha jihadhari na haya mambo
Ngono
Chakula

Hivi ni vitu vinavyoweza kushusha heshima yako Kwa haraka Sana Kwa MTU yeyote.

Ushauri
Ikiwa upo na uraibu wa kuipenda ngono hakikisha hautembea na mwanamke anayejua background yako kuanzia kazi, familia na watoto.

Then huo msala uliompata huyo Jamaal atumie njia za kidiplomasia amuhudumie huyo demu hadi ajifungue ili asiharibu image yake Kwa jamii na familia Yake.

Mtoto akizaliwa lazima maji yatajitenga na mafuta. So amjenge huyo demu kisaikolojia na kumpa natumaini kuwa kila kitu kitakaa sawa awe na Amani.baadae ataachana naye tu vizuri
 
Mwaka wa sensa nlipatwa na balaa kama hilo, tena nliitwa na mama ake, mama ambae ni pacha wa mama ake mzazi nkaangushiwa zigo tena kwa kishindo,

Nlipambana sana kugoma lakini mama na bint pamoja na mashahid kadhaa walioandaliwa

Binafsi nkawaambia kwakua mie ndo nmeonekana ktk radar zake bas ntasaidia kutoa msaanda ktk malezi ya ujauzito ingawa mimba nna uhakika nmepigwa, nao wakaja juu, ikabid niwe mpole kuzuia timbwili kufika kwa wife,

Kidume nkalea kila kliniki ikifika kidume naulizwa kila details, inazonihusu , mda ukafika vitenge na yale mabeseni, carpet na msaada mwingine nkatoa,

Mda wa kujifungua ukafika kijana kazaliwa , kidume kilo nne mwanaume nkaulizwa jina la mtoto

Nkaenda chimbo kupiga macalculation, ikaonekana nlipewa mzigo February mtoto kazaliwa August, nkaamua ku mute, kama sielewi. Ukawa mwisho wa ktoa huduma yule mama alkua keshazoea kila dk simu nyingi za kuomba mkwanja, nkaamua kumpa makavu live , akatulia


Bibi ake alkua keshaaminia mziki wangu, akaniuliza nin sababu ya kupindua meza, nkamwambia akae na mjukuu wake amweleze nani mzazi halisi wa mtoto, bibi akaniomba sana nilee tu malaika yule ili badae niwe najipigia tu pale mtoto atapokua mkubwa, lakin nkaona huu mzigo ni heavy kwangu

Had sasa tupo kisela nkimwonea huruma nampatia vocha. Lakini kuhusu utegemezi 100% anajua yeye na familia yake,

Hawa watu mifumo yao wanaijua wenyew
Dah pole mkuu
 
Kuna jamaa yangu hapa anajipanga kupangua hoja zinazomkabili, ilikuwaje? Mpe ushauri

Jamaa ana umri wa miaka 39,mwaka jana akiwa kwenye maeneo yake ya kazi kuna binti alikuwa anapita pita hayo maeneo kama kawaida wanaume akarusha ndoano,binti mdogo miaka 19 akamwambia amcheki kwa namba hiyo ......

Jioni mzee akaanza texts za kumuapproach binti, binti kapiga noooooo ndefu na sababu kuu 3

1,Wewe mbaba kabisa nidate na wewe,umri sawa na baba angu
2,Una familia na mke hata huna aibu
3,Nina mpenzi

Baada ya kutolewa hizo sababu tatu jamaa akakata stimu ya kuendelea kumtongoza binti ambaye ndo kahitimu kidato cha nne mwaka Jana

Baada ya miezi 5 binti akamtext jamaa, jamaa akauliza nani? Binti akajibu kwa kutaja jina, jamaa akahamaki, akauliza vipi? Binti akajibu nilikuwa nakusalimia......., Jamaa akajibu sawa,hakuendelea kumchatisha zaidi maana zile sababu zilimkata makali

Baada ya siku kadhaa binti akampigia simu akiomba msamaha kwa kumkwaza ila anaomba amsaidie elfu 45 kuna shida imemkabili,anaomba sana amuokoe. Jamaa akaona acha ampe, akamuuliza Namba hii na jina gani litakuja" Baada ya dakika 5 muamala ukakamilika binti akashukuru sana

Wiki moja baadae binti akamchatisha jamaa,Sasa wakiwa katikati ya stories jamaa si akadokoa"Nilikuwa nakupenda basi tu ulinikataa" Majibu ya binti"Oooh! Siku ile nilikuwa na stress ndo maana" Jamaa" ko kwa sasa upo tayari? Majibu ya demu "Ni wewe tu! Basi jamaa wakawa wamekubaliana na binti na wakazini kama safari 4 hivi

Bwana eeeh! Binti akamwambia,"Mr tangu tuwe kwenye mahusiano umepita mwezi mmoja ila najisikia ovyoo nahisi kama nina mimba, jamaa akaduwaa. Tunafanyaje sasa binti kakomaa anataka kutoa mimba maana hata wazazi wa binti ni shida sana mtaani

Basi jamaa akamseti Doctor fulani hivi binti akaenda pale, Doctor kwanza akachukua vipimo na maelezo ya awali kuhusu ujauzito akabaini ni zaidi ya miezi 7 na akamshauri azae tu

Jamaa alivyomuuliza mbona mimba siyo yangu "Binti akafoka na kuja juu,",Kama unakataa hii mimba jiandae kitaeleweka mkeo lazima ajue na wanao lazima wajue" na binti kakomaa sawa sawa kama hutoi hii mimba nioe

Katika uchunguzi wa jamaa amebaini kuwa kabinti kalikuwa na kamshikaji miaka 25,kakampiga ujauzito ,kijana kasepa mtaani hajulikani alipo ,ameangushiwa mzigo akwepe vipi?

Ushauri tafadhali

NB:Mliopo kwenye ndoa kuwa makini na mabinti wanaokuja kwa kasi kwako,utavuruga ndoa
Katika kitu sipendi ni mtu anayenitisha kwa kutaka favor toka kwangu.
 
Yaani kwa mara ya kwanza unaanzaje kwenda kavu kavu??
Ikiwa ni kweli jamaa amepewa mimba ikiwa na miezi 7 akatae mpka mahakamani, achana na mke kujua ,asihofie mke kujua akane mazimaaaaaa, yeye na mkewe watajua watamalizanaje lkn kukubali kutamletea shida kubwa zaid na zaid, lkn pia kutamfanya aingine kwenye bajet ya kuhumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Liwalo na liwe hapa lazima mke wake ajue ili kujinusuru
 
Binafsi sijaoa lakini nawaogopa sana hawa wanawake na ikitokea nimeteleza siendi hivihivi bila kinga maana najua madem wanamambo mengi unaweza ukapiga kavu kumbe haupo peke yako siku akijishtukia kanasa mimba na hamjui baba huwa anabambikia mtu yoyote, watu wengi wanalea watoto siyo wao kwa michezo hii ya kuwekewa mtego, sasa hata kama bado sijaoa najua nikiuvaa huo mtego utanitesa sana hata baadae nikioa lazima nitakua kwenye ndoa isiyo na amani, je vipi wewe una mke kabisa na unafanya ujinga kama huo?

Nakuita mjinga kwasababu hujiongezi maana hata ile 45k aliyokuomba mwanzo ilikua ni ya kutolea mimba na angefanikiwa kutoa mimba wala asingekutafuta tena kwasababu hakupendi, kakutafuta baada ya mimba kushindikana kutoka na kakupa mzigo umekula kavu ili akubambikie maana ameshajua wewe ni dhaifu na hapo hutoki mzee labda uanze kutumia akili maana sahivi hutumii akili bado
Maneno mazito sana haya
 
Kuna jamaa yangu hapa anajipanga kupangua hoja zinazomkabili, ilikuwaje? Mpe ushauri

Jamaa ana umri wa miaka 39,mwaka jana akiwa kwenye maeneo yake ya kazi kuna binti alikuwa anapita pita hayo maeneo kama kawaida wanaume akarusha ndoano,binti mdogo miaka 19 akamwambia amcheki kwa namba hiyo ......

Jioni mzee akaanza texts za kumuapproach binti, binti kapiga noooooo ndefu na sababu kuu 3

1,Wewe mbaba kabisa nidate na wewe,umri sawa na baba angu
2,Una familia na mke hata huna aibu
3,Nina mpenzi

Baada ya kutolewa hizo sababu tatu jamaa akakata stimu ya kuendelea kumtongoza binti ambaye ndo kahitimu kidato cha nne mwaka Jana

Baada ya miezi 5 binti akamtext jamaa, jamaa akauliza nani? Binti akajibu kwa kutaja jina, jamaa akahamaki, akauliza vipi? Binti akajibu nilikuwa nakusalimia......., Jamaa akajibu sawa,hakuendelea kumchatisha zaidi maana zile sababu zilimkata makali

Baada ya siku kadhaa binti akampigia simu akiomba msamaha kwa kumkwaza ila anaomba amsaidie elfu 45 kuna shida imemkabili,anaomba sana amuokoe. Jamaa akaona acha ampe, akamuuliza Namba hii na jina gani litakuja" Baada ya dakika 5 muamala ukakamilika binti akashukuru sana

Wiki moja baadae binti akamchatisha jamaa,Sasa wakiwa katikati ya stories jamaa si akadokoa"Nilikuwa nakupenda basi tu ulinikataa" Majibu ya binti"Oooh! Siku ile nilikuwa na stress ndo maana" Jamaa" ko kwa sasa upo tayari? Majibu ya demu "Ni wewe tu! Basi jamaa wakawa wamekubaliana na binti na wakazini kama safari 4 hivi

Bwana eeeh! Binti akamwambia,"Mr tangu tuwe kwenye mahusiano umepita mwezi mmoja ila najisikia ovyoo nahisi kama nina mimba, jamaa akaduwaa. Tunafanyaje sasa binti kakomaa anataka kutoa mimba maana hata wazazi wa binti ni shida sana mtaani

Basi jamaa akamseti Doctor fulani hivi binti akaenda pale, Doctor kwanza akachukua vipimo na maelezo ya awali kuhusu ujauzito akabaini ni zaidi ya miezi 7 na akamshauri azae tu

Jamaa alivyomuuliza mbona mimba siyo yangu "Binti akafoka na kuja juu,",Kama unakataa hii mimba jiandae kitaeleweka mkeo lazima ajue na wanao lazima wajue" na binti kakomaa sawa sawa kama hutoi hii mimba nioe

Katika uchunguzi wa jamaa amebaini kuwa kabinti kalikuwa na kamshikaji miaka 25,kakampiga ujauzito ,kijana kasepa mtaani hajulikani alipo ,ameangushiwa mzigo akwepe vipi?

Ushauri tafadhali

NB:Mliopo kwenye ndoa kuwa makini na mabinti wanaokuja kwa kasi kwako,utavuruga ndoa
Miezi saba jamaa akamduu na hakugundia kama binti ni mjamzito!! Na jamaa ana mke na mkewe ana watoto jamaa hata hakupata uzoefu toka kwa mkewe kuhusu uvimbe wa tumbo kwa mjamzito!!

Anyway
Mwambie akomae tu hata kwa mkewe habari zifike poa tu na amwambie kwamba akojifungua wataenda kufanya DNA TEST. Kikubwa asimamie kweli
 
Back
Top Bottom